TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Acha uongo,ana mtoto wa kiume tena mdogo sana,sidhani hata kama kafikisha miaka 7 huyu mtoto,kwa mke wake Msomali hapa Kunduchi mtaa wa 170... Ni jirani yangu,so najua ninachoandika
Huyo mama wa kisomali (naamini ndiye) alimzalia mtoto wa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kama 20 hivi. Anaitwa Tegenye A. Mufuruki
 
2015 alimpigania sana sana Magu,naona moja kati ya matunda aliyoyapata kipindi flani hivi ni maduka yake ya WOOLWORTH kupigwa pini na TRA.
Sawa na Dialo wa CCM.
Sahara Investments.
Radio Free Africa ilipigana kufa na kupona 2015 kwa ajili ya JPM, sasa inakaribia kufilisiwa.
RIP Ali Mfuruki, a role model to many.
 
Kila nafsi itaonja umauti,Apumzike kwa Amani Ali Mafuruki.
 
The centre of wealthy, civilisation, power and knowledge in Africa ni Hapa kwa Kaburu Beberu mdogo, ndipo wajanja wanapofia, kutibiwa, kula bata, kujirusha, Kupumzika, Kuishi wakisha staff, huyu huenda alikuwa anaishi huku, Bongo ni kuchuma na kusalimia tu.

Miaka ijayo watazikwa hukohuko,Ili roho zao ziburudike na ubaridi wa south. miili yao isioze haraka.

Kajamba nani wa Bongo Darisalama hufia Temeke, Mwananyamala, MNH nk. hawaendi kutibiwa mikoani, wa mikoani sasa km wanao wanapesa huletwa Lugalo military Hosp.

Hii Hosp. ya Lugalo angalao ni number moja Bongo kutoa huduma Bora, kwa taasisi za serikali. ndipo ma boss wa sirkali km wabunge, Mawaziri, Ma-Canal, Mabrigadier hufia hapa! Pakuagia Pazuriii, Mortuary nzuriiiii! pametulia kwenye vivuli vya miti utadhani siyo Bongo yenye joto.

Wa mikoani ndiyo mama yangu poleni zao, hata kitanda cha kulazwa mgonjwa hutakaa ukipate, wanakufa wamesimama , Mortuary za mkoa ni mazalia ya popo tangu Marehemu Samora Machel alipotoa msaada mpaka wa leo, hazifanyikazi.

Vitanda vya Hospitali za Mikoani ni special, vimewekwa akiba ajili ya Madiwani, wakuu wa mikoa/Wilaya na familia zao, wafanya biashara wenye jina,
Duuuuh!
 
Back
Top Bottom