TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Kumbuka kwamba Mengi hakufa na ukwasi wake, wapo watoto na kampuni ile sasa ina hela zaidi ya wakati wa Mengi.

Mzee Mengi alikua ni Spender, misaada kwa sana bila Sababu watoto wanajua kutunza hela sio Maspender
 
Rest in peace ALI MFURUKI

the end of something good...
 
Huyu

Kwenye hii Dunia ya sasa unajidanganya rafiki Fikra za kizamani hizo kuusu watoto wa kike na Kidunye, kwa taarifa yako watoto kike wana nguvu kuliko hao wa kiume siku hizi
Wewe ndiye mwenye fikra hizo.
 
wakati familia ilikuwa kwenye mgogoro ndugu, na hizo hela zimeongezeka kutokana na lipi? wakati mengi kafa juzi tu hata mwaka hana...na migogoro ikishaanza ndio kwaheri

Hela zimeeongezeka kwa lipi? Swali gani hilo ? Kwa hiyo wakiwa kwenye migogoro company zimesimama? ITV, EATV nk hazipo hewani?
 
He was one of the finest minds in Tanzania. Very sad to learn about his demise.
 
Mzee Mengi alikua ni Spender, misaada kwa sana bila Sababu watoto wanajua kutunza hela sio Maspender
Ulisoma soma shule japo kidogo?

Alikua ana spend not more than 2% ya gross revenue/annum ya Co. kwny CSR ambayo ndio inaruhusiwa kwny mambo ya kodi.

So by spending % hio wala haina effect kwny hesabu za Co.
 
Hela zimeeongezeka kwa lipi? Swali gani hilo ? Kwa hiyo wakiwa kwenye migogoro company zimesimama? ITV, EATV nk hazipo hewani?
sasa unasema hela zimeongezeka zaidi wakati operesheni za kampuni ni zile zile? Kampuni zinaweza kuwa hazijasimama kwa sasa, ila migogoro inasababisha kampuni nyingi kufa
 
Ulisoma soma shule japo kidogo?

Alikua ana spend not more than 2% ya gross revenue/annum ya Co. kwny CSR ambayo ndio inaruhusiwa kwny mambo ya kodi.

So by spending % hio wala haina effect kwny hesabu za Co.

Wewe ni accountant wake ?una uhakika alikua anatumia 2% only kwneye CSR

Unajua alizokua anatoa toa bila plan kwa kina Makonda na wengine ?
 
Wewe ni accountant wake ?una uhakika alikua anatumia 2% only kwneye CSR

Unajua alizokua anatoa toa bila plan kwa kina Makonda na wengine ?
Mengi hakua fala ndio maana akaifikisha co. Pale ilipo.

Suala la kua a/c wake sidhani kama linakuhusu sana maana we mwenyewe hizo story za jamaa alikua spender umezitoa huko kijiweni.

Kwani leo Makonda akitaka hela kwa watoto wa Mengi wana uwezo wa kumkatalia?
 
Back
Top Bottom