TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Hapo angesukumwa tu.... mtu angefungwa miaka 30 kwa kuua bila kukusudia

Apumzike kwa amani
 
Dah! So sad... Soka na michezo mingine migumu ina pesa lakini naona kwa kiasi fulani inasababisha matatizo makubwa kiafya. Wanamichezo wamekuwa wakifa ghafla bila kuonesha dalili za kuugua kabisa...

Anyway, R.I.P jembe...
Si kweli hata kidogo rate ya kufa wanamichezo ni ndogo sana na ni matukio ya mara chache ukilinganisha na watu wasio wanamichezo. Huwezi sema michezo inaleta matatizo ya kiafya ila kinyume chake ni kweli. Tatizo kubwa huwa ni magonjwa ya moyo tena ni kwa wachache sana
 
Salut kaka. Watu wanayao moyoni. mm nimeshuhudia Don mmoja anaumwa the clap, kabla hajamaliza tiba akampigia sim mbongo muvi mmoja akaja akayumba nae kavu kavu. Hawa ma star wetu wamwombe Mungu awaepushe na majaribu haya.
 
kumbe kule insta alikua anaenjoi machoni tu lakini moyoni alikua na maumivu makali mweee.....uwoya sijui alimpa tako huyu jamaa maana si kwa kuumia kule
Uwoya wadau wengi wanasema.anawafukulisha viazi washkaji hata h baba alishawahi kulala kwamba Irene anamlazima kufukua viazi .

Kuna mdau humu jf alishawahi kusema pia Irene amekubuhu kufukulisha viazi na kwamba jamaa aliotoka nao washakata tiketi kibao na kwamba ana file pale mwananyamala hospjtal kuhusu ile ishu .

So sishangai hata janja saivi atakuwa anafukua viazi vya uporoto kila siku .
 
Hii naikumbuka na alisemaga one week before wedding alitaka atoroke ila mama akamkataza akamuambia ukiondoka mwanangu ntauweka wapi uso wangu!ndo akaolewa

Kuna siku kataut alishampigia simu padr aliyewafungisha ndoa akamuambia I'm done with this sheet namdivorce hapo ndoa ht mwaka bado wakaenda kwa kalumanzila na johari(inasemekana lakini)Mara bibi yule mimbaa

Halafu ndiku alipoteza mpk Carrier yake ya Mpira kule Cyprus kwa sababu ya family problems

Akafulia akaja bongo kuishi na Irene ndo alipoona rangi zooote mpk chanikiwiti na hudhurungi zilionekana[emoji108] [emoji1] [emoji1] wakashindwana kwa hasira akawa anawala bongo muvi wanaojilengesha mpk uwoya alikua na bifu na Lucy Komba.[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124]
 

Hahahaaa chanikiwiti ndo ikoje hiyo?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Okayyyy[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Itakua cardiac arrest tu..alikua anahangaika sana recently huko instagram na inaelekea aliumia mnoo kuhusu the so called ndoa ya dogo janja..si kwa caption zile..
Kweli kabisa, ila sitashangaa waTZ wakisingizia nguvu za giza kwa uelewo wao mdogo..binadamu roho ziko mkononi, haijalishi uko fit au unfit, ikifika siku mchezo umekwisha..
RIP Ndikumana..
 
Kwani mkuu Katauti ameshawahi kucheza msimbazi?kumbukumbu yangu inakuja ya Selemani Ndikumana na sio Hamad huyu marehemu
 
Uwoya ana dhambi jaman halafu yeye ndie aliyelazimisha ndoa. Jamaa alikua na hela zake za maana kafilisika kimasihara kabisa.
 
Zari alikua mke wa Ivan, akahamia kwa Platinumz then Ivan akaaga dunia ndani ya muda mfupi

Irene alikua mke wa Ndikumana, kisha akaolewa kwa Janjaro.. Ndikumana akaaga dunia ndani ya muda mfupi...

What a coincidence....
 
Kwani mkuu Katauti ameshawahi kucheza msimbazi?kumbukumbu yangu inakuja ya Selemani Ndikumana na sio Hamad huyu marehemu
Hoyaa wewe Gentamycine ukuje huku ushaumbuliwa, kumbe mtu mwenyewe Katauti hajawahi hata chezea Simba umekurupuka tu kama kawaida yako. Unakumbuka hata issue ya yule jamaa alieadmitted Nairobi ulikurupuka hivi hivi bila kua na uhakika na kitu chochote. Jamaa wa watu kapatwa na usongo wa mawazo wewe ukaja na uzushi wako.Rip Katauti.
 
Ha ha mkuu haujaona alama ya kuuliza?usinichonganishe nikaitwa popoma usiku huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…