Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 764
Aisee mapenzi kumbe yanauaKwa habari nilizozipata hivi punde kuwa Aliekuwa Mme wa Irine Uwoya amefariki Dunia jana usiku kwa ugonjwa wa moyo.
Taarifa zaidi zinakuja![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mapenzi kumbe yanauaKwa habari nilizozipata hivi punde kuwa Aliekuwa Mme wa Irine Uwoya amefariki Dunia jana usiku kwa ugonjwa wa moyo.
Taarifa zaidi zinakuja![]()
Mapenzi ya kweli hayo mkuu omba yasikukute ukute hata papa alikuw hampi basi tu mapenzkumbe kule insta alikua anaenjoi machoni tu lakini moyoni alikua na maumivu makali mweee.....uwoya sijui alimpa tako huyu jamaa maana si kwa kuumia kule
Kila mwanamke na kitu chake special hujui alipenda nn kwa uwoyaInaonyesha alikua anateketea ndani kwa ndani. Mapenzi haya, kwa jinsi tulivyoumbwa wengi unamfia mtu mmoja tu? Si angechagua mungine tu. Wanawake walivyo wengi, tena wanawake wa kinyarwanda walivyo wazuri. Angejitwalia tu dada ake wa kinyarwanda mmoja akaweka ndani
yaaah ni true love hapo iliyopitiliza hakuna kingine maana ile ndoa ya ghafla na dogo janja imempa heartattack ya kupelekea icho kifo kabisaaaa
Ndoa zina siri nyingi labda ndiyo sababu ya kuachana.
Aisee kumbe mambo ndivyo yalivyo
Upweke umemchukua huyu ndugu maskini alijitahid kutafuta faraja lakini wapi ikashindikana.. R.I.P ila uwoya namhakikishia hataishi kwa amani mpaka maulana anamchukua... Haina haja ya kufanyiana hivi kama binadamu labda kama kulikua na tatizo ila pia angemsaidia tuu yapite kwani ndo dunia yetu hii...
Enyi wanawake muwe na huruma jaman yanini kufanyiana hivi...
maskini inaumiza !jaman watu wajifunze kumove on !hata km mlipendana vipi mapenzi yakiisha kubali yaishe !polen sana familia ya ndikumana !
Siku hizi cardiac arrest ndo cover!Wanasema ni CARDIAC ARREST.....Kama hivyo ndivyo bas ndoa haijahusika kwakweli
Wakati kwa baadhi ya wanawake ni tofauti kabisaaWanaume huwa tuna mitihani miwili maishani;
1. Kutafuta mafanikio kiuchumi
2. Kuwa na mke anayejielewa
Hayo ni kama masomo ya chuo ni lazima ufaulu yote ili uweze kugraduate ukifeli moja hasa hili (mwanamke) core subject, unakuwa umeshaharibu maisha yako.
[emoji26] [emoji26] [emoji26]
R.I.P brother...
Hahaaaa asante sana kiongoz wangu balikiwa sana
Acheni kumzushia banaa; mlimpima?? Au ndio majungu tu ya wabongo kama kawaida yao kuvumisha kwa vifo vya watu. Huyu jamaa anaonekana kabisa alimpenda sana huyu dada na alikua na msongo mkubwa sana wa mawazo.RIP Katauti.Dally Kimoko msikie tu Dada nyuzi zake huwa hazimbakizi Mtu hasa ' zikisebeneka ' vizuri katika mfumo wako mzima wa Damu.
Siku hizi cardiac arrest ndo cover!
Jamaa alikanyaga umeme mahali, na dada yetu yuko mashakani maana tetesi zilikiwapo mtaani kuwa "gari" lake hufanyiwa service, na dogo nae mzee wa NIKUPELEKE NGARENAROOOOO kama havaagi seat belt anapoendesha hilo gari basi kazi ipo.
Yawezekana, ila wajua kuwa hali ile husababisha kualika mambo mengine mwilini, it might have triggered that cardiac arrest!!Tetesi za gari ku ' miss' ni za kitambo mno kwa huyo binti tangu enzi zileeeee za yule mnene wa majengo pacha ya posta so kwakweli siwez kubisha. Nimewahi kua karibu na marehemu staa mkubwa wa senema hizi na niliona yaliyokua yanatokea kambini,moyo wangu uliapa kutojisumbua na hawa senema za tanzania kamwe!!
Ila kuanguka ghafla kama ilivyomtokea inawezekana ni shambulio kali la moyo kweli mkuu.
Huoni hata Kwa zari karma haiwaachi salamaUpweke umemchukua huyu ndugu maskini alijitahid kutafuta faraja lakini wapi ikashindikana.. R.I.P ila uwoya namhakikishia hataishi kwa amani mpaka maulana anamchukua... Haina haja ya kufanyiana hivi kama binadamu labda kama kulikua na tatizo ila pia angemsaidia tuu yapite kwani ndo dunia yetu hii...
Enyi wanawake muwe na huruma jaman yanini kufanyiana hivi...
Mmmh makubwa
[emoji23] [emoji23] sio kwa tafsida hiiSiku hizi cardiac arrest ndo cover!
Jamaa alikanyaga umeme mahali, na dada yetu yuko mashakani maana tetesi zilikiwapo mtaani kuwa "gari" lake hufanyiwa service, na dogo nae mzee wa NIKUPELEKE NGARENAROOOOO kama havaagi seat belt anapoendesha hilo gari basi kazi ipo.
Acheni kumzushia banaa; mlimpima?? Au ndio majungu tu ya wabongo kama kawaida yao kuvumisha kwa vifo vya watu. Huyu jamaa anaonekana kabisa alimpenda sana huyu dada na alikua na msongo mkubwa sana wa mawazo.RIP Katauti.