TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

si kwa mahesabu haya duuh
wanaume hawawezi kuhimili mikikimiki sana tofauti na wanawake, na mbaya zaidi hawaongei vinavyowasibu, wako radhi wakae kimya huku wanaugulia ndani kwa ndani, ndio maana ni rahisi kupatwa na magonjwa ya moyo na vifo vya ghafla
yani kwa maumivu wanayopewa wanawake wangekuwa wanapewa wanaume wangeshaisha duniani.
 
si kwa mahesabu haya duuh
wanaume hawawezi kuhimili mikikimiki sana tofauti na wanawake, na mbaya zaidi hawaongei vinavyowasibu, wako radhi wakae kimya huku wanaugulia ndani kwa ndani, ndio maana ni rahisi kupatwa na magonjwa ya moyo na vifo vya ghafla
Ndivyo nilivyo mimi
 
Tunawapitisha watoto katika mazingira magumu hii picha sijui mtoto ataielewaje na ataichukuliaje
namfikiria mtoto
Huyu mtoto lazima akikua atamchukia mama tu maana kwa sasa atadanganywa lakini akikua atapata habari yote na hivyo hatompenda mama kabisa pole Irene, akiweza amuweke mtoto karibu na familia ya Ndiku ili mtoto azoee haya maisha mapema likizo aende huko

Pole sana familia ya Ndikumana kilichobaki ni Innalillah wainailaih rajiun
 
1. Ivan - Alijifanya hana habari kwa Zari, kumbe alikua akiumia kwa ndani na mwisho tukampoteza. R.I.P
2. Ndikumana - Akajifanya hajali kwa Irene, kumbe alikua anaumia kindani, na leo tumempoteza. R.I.P
Sasa nitatafutaje suluhisho wakati Zamaradi ndio kaisha olewa....[emoji19] [emoji19]
Minimemuachia tu Mungu.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
utafute suluhisho mapema
 
Nashukuru kwa kunielewa mapema Mkuu na nawacheka tu hapa Watu wanaosema mara sijui ni Stress mara sijui Tatizo la Moyo na maneno / tuvituvitu kibao wakati hata Wachezaji wenzake wengi huku Bongo mmoja akiwa anafanya katika Kampuni ya Tajiri Kijana barani Afrika walishalijua tatizo lake zamani sana kama ambavyo walilijua tatizo la Wachezaji wawili ambao ni Wahenga kidogo ambao kwa sasa mmoja anacheza Klabu ya Maji Maji ya Ruvuma ( Songea ) huku mwingine akianza kula pensheni yake taratibu ndani ya Klabu inayo jinasibu / kujiita ya Kimataifa.

Nawaonea sana huruma Waandishi wa Habari za Michezo wa Kike nchini Tanzania. Naomba niishie hapa tafadhali na niseme tu tena R.I.P Ndikumana.
Hii chain mbona itaunganisha wengi
Jamani. Si juzi tu.alikuwa ok.
Kweli kifo tunatembea nacho...
Pumzika kwa amani. Shem

Ujumbe tosha huu, hapa dunian tunapita pita... ipo siku nitashangilia vifo vya watu flani si kwa mateso nayokumbana nayo...
 
1. Ivan - Alijifanya hana habari kwa Zari, kumbe alikua akiumia kwa ndani na mwisho tukampoteza. R.I.P
2. Ndikumana - Akajifanya hajali kwa Irene, kumbe alikua anaumia kindani, na leo tumempoteza. R.I.P
Sasa nitatafutaje suluhisho wakati Zamaradi ndio kaisha olewa....[emoji19] [emoji19]
Minimemuachia tu Mungu.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
tehe tehe tehe
 
Back
Top Bottom