FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Sasa utajuaje kama hakupendi?Ukioa mwanamke asiyekupenda ni sawa na kulala na bomu
Hawana formular hawa, ukiwa nazo unapendeka tu, mpaka uishiwe ndio mambo yanabadilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utajuaje kama hakupendi?Ukioa mwanamke asiyekupenda ni sawa na kulala na bomu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]hapo ndikumana aliibiwa tu,huyo mtoto ni wa mwigizaji kulwa kikumba a.k.a DUDE
Dhehebu lingine na si dini nyingine mkuu.kanisa katoriki unaweza kufunga ndoa na mtu wa dini nyingine na anaendelea na dini yake.
Ohoo nimeunganisha dot kwa hii coment yako na coment ya barafuyamoto hapo chin nimepata mwanga
Nikiunganisha na ile coment ya gentamycime kuna kitu nakipata hapa
Mi nilikusoma mapema nikakumbuka na kipindi cha clouds cha shilawadu.Sawa ila siku zingine uwe unajitahidi sana kumuelewa haraka GENTAMYCINE Mkuu. Na ukiona naandika post halafu mwishoni nasema naomba niishie hapa tafadhali na nakiwekea alama nyekundu kabisa jua kuna kitu Nyeti na cha Hatari kabisa ila Kimaadili sikiweki wazi lakini nitakifumba fumba tu na mwenye akili za haraka atang'amua / ataelewa.
Duhhh......[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mdomowangu umebaki wazi kabisaaaaaaaa......[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Mbona yalisemwa humu kuwa gari ya Irene inafanyiwa service pale kwenye garage ya Mwananyala si nzima sana.Kwa nilizozinyaka kutoka kwa Mchezaji wa Kibongo ambaye alikuwa ni Rafiki mkubwa sana wa Marehemu na wamecheza wote kwa mafanikio makubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC nadhani ingefaa sasa tuanze kumpa pole Dogo Janja na kumuandaa Kisaikolojia mapema na pia kuwapa pole sana Waandishi wa Habari za Michezo wawili wa Kike mmoja sasa ni Bosi katika Chama chao ni mwingine alikuwa ile Media ya Sinza na sasa yupo Media ya Tabata na ambaye pia alishatoka Kimapenzi na aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Mshambuliaji kutoka nchini Zambia. Naomba niishie hapa tafadhali. R.I.P Ndikumana.
3. Lulu- Kanumba na Capt Komba.1.Diamond ____ Ivan
2. Dogo Janja_____ ndikumana
3.
4.
5.
hapo utaona tofauti ya mwanamke na mwanaume Katika kuvumilia mambo.kumbe kule insta alikua anaenjoi machoni tu lakini moyoni alikua na maumivu makali mweee.....uwoya sijui alimpa tako huyu jamaa maana si kwa kuumia kule
Ahahaahaaaaa....mod watakuwa wameshamfufua na kufutilia sredi yako ya kizushi...poleeeee.nashangaa niliweka thread imefutwa labda hajafa
Hata kama ni wewe ungejibu nini? Kule bongo movie si wachoyo luku wameisambaza sana down townKuna siku mwaka huu kipindi cha The Wekend Chat Show, clouds tv aka SHILAWADU soudy brown alimuuliza dada mmoja kuwa kuna tetesi amekanyaga umeme, huyo dada alijibu kuwa ni maneno ya mtaani tu!