Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia mafumbo sana ila umesomekaaaa!!Ni kweli hata Kipingamizi cha kuanza kwenda Kituo cha afya kila Jumanne na Ijumaa sasa hatakuwa hana tena. Wewe unaona Gari kila siku inasumbua Injini na kuna Mtumiaji mwingine wa hiyo Gari ameikataa Kuinunua halafu Wewe na ushamba ushamba wako unakurupukua Kuinunua kwa Vijihela vyako vya ' ngama ' kwanini na Wewe isikumalize tu kwa Ajali? Uzuri wa Injini nyingi za siku hizi wala huhitaji hadi kumchukua Fundi ili akaangalie kama ni mbovu au nzima bali hata Wewe dereva tu mwenyewe unaweza ukagundua.
Naomba niishie hapa tafadhali na R.I.P sana Ndikumana.
Inaonekana alimpenda sana mkewe..taarifa za mkew kuolewa zilimuumiza sana..Kwa habari nilizozipata hivi punde kuwa Aliekuwa Mme wa Irine Uwoya amefariki Dunia jana usiku kwa ugonjwa wa moyo.
Taarifa zaidi zinakuja![]()
Anatumia jina gani insta!?Itakua cardiac arrest tu..alikua anahangaika sana recently huko instagram na inaelekea aliumia mnoo kuhusu the so called ndoa ya dogo janja..si kwa caption zile..
Dogo J ameua pasipo kukusudia, naskia eti mapenzi yanaua aiseeeeee
Ukioa mwanamke asiyekupenda ni sawa na kulala na bomuKama ni true love jamaa alimpenda sana Irene
We jamaa mbona unaandika nusu nusuKwa nilizozinyaka kutoka kwa Mchezaji wa Kibongo ambaye alikuwa ni Rafiki mkubwa sana wa Marehemu na wamecheza wote kwa mafanikio makubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC nadhani ingefaa sasa tuanze kumpa pole Dogo Janja na kumuandaa Kisaikolojia mapema na pia kuwapa pole sana Waandishi wa Habari za Michezo wawili wa Kike mmoja sasa ni Bosi katika Chama chao ni mwingine alikuwa ile Media ya Sinza na sasa yupo Media ya Tabata na ambaye pia alishatoka Kimapenzi na aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Mshambuliaji kutoka nchini Zambia. Naomba niishie hapa tafadhali. R.I.P Ndikumana.
Ndiyo yaliyomkuta NdikumanaUkioa mwanamke asiyekupenda ni sawa na kulala na bomu
Ohoo nimeunganisha dot kwa hii coment yako na coment ya barafuyamoto hapo chin nimepata mwangaKwa nilizozinyaka kutoka kwa Mchezaji wa Kibongo ambaye alikuwa ni Rafiki mkubwa sana wa Marehemu na wamecheza wote kwa mafanikio makubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC nadhani ingefaa sasa tuanze kumpa pole Dogo Janja na kumuandaa Kisaikolojia mapema na pia kuwapa pole sana Waandishi wa Habari za Michezo wawili wa Kike mmoja sasa ni Bosi katika Chama chao ni mwingine alikuwa ile Media ya Sinza na sasa yupo Media ya Tabata na ambaye pia alishatoka Kimapenzi na aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Mshambuliaji kutoka nchini Zambia. Naomba niishie hapa tafadhali. R.I.P Ndikumana.
Duhhh......[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwa nilizozinyaka kutoka kwa Mchezaji wa Kibongo ambaye alikuwa ni Rafiki mkubwa sana wa Marehemu na wamecheza wote kwa mafanikio makubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC nadhani ingefaa sasa tuanze kumpa pole Dogo Janja na kumuandaa Kisaikolojia mapema na pia kuwapa pole sana Waandishi wa Habari za Michezo wawili wa Kike mmoja sasa ni Bosi katika Chama chao ni mwingine alikuwa ile Media ya Sinza na sasa yupo Media ya Tabata na ambaye pia alishatoka Kimapenzi na aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Mshambuliaji kutoka nchini Zambia. Naomba niishie hapa tafadhali. R.I.P Ndikumana.
Nikiunganisha na ile coment ya gentamycime kuna kitu nakipata hapaKuna siku mwaka huu kipindi cha The Wekend Chat Show, clouds tv aka SHILAWADU soudy brown alimuuliza dada mmoja kuwa kuna tetesi amekanyaga umeme, huyo dada alijibu kuwa ni maneno ya mtaani tu!
AmebApumzike kwa Amani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msiba wa mume mwenza[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Pole Irene Sheila, Dogo Janja itabidi amsindikize my wife wake kwenye msiba.
Umetumia mafumbo sana ila umesomekaaaa!!
We jamaa mbona unaandika nusu nusu