TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Ndio nini!?
Mchanganyiko kwelikweli wa samaki na chai ya rangi bila kusahau chocolate na pilipili na juice ya papai ndani yake kwa kuwa ujenzi wa nyumba unataka asali ya kutosha na askari wa kulinda
 
Mbona nimetembelea website nyingi za Rwanda hakuna kitu hicho
 
Stress ni hali mbaya sana kwa mwanadamu,unaumwa lakini hujijui na ndio kwanza unajifanya mchangamfu.
Hili tatizo linamsakama wema na Hamisa kwa sasa,watafute ushauri wa daktari haraka sana
 
Kina wolper kijidai matwin kuingilia mambo yasiyowahusu nafsi zitawasunta maisha yao yotee...RIP ndikumana
 
habari ya kusikitisha, mume wa zamani za Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia. Alikuwa kocha msaidizi wa timu ya soka ya Rayon Sports ambayo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi nchini Rwanda. Uongozi wa timu hiyo umesema jana Katauti alifanya mazoezi na wachezaji wake akiwa buheri wa afya. Mwili wake umekutwa nyumbani kwake mjini Kigali akiwa amefariki dunia. Haijajulikana kifo chake kimesababishwa na nini kwani hakuwa mgonjwa na wala hajafanya ajali. Mwili wake umepelekwa monchwari ya kiislamu ya dispensari ya Rwampala kwa maombi ya familia yake kwani miili ya waislamu haihifadhiwi katika monchwari za kawaida kwa mujibu wa imani zao. Mungu ampe malazi mema peponi.
kwani alishampa talaka?
 
dogo janja anajimwaya bila kipingamizi sasa, R.I.P,
Diamond-ZARI-SEMWANGA
JANJARO-uwoya-Ndiku

Ni kweli hata Kipingamizi cha kuanza kwenda Kituo cha afya kila Jumanne na Ijumaa sasa hatakuwa hana tena. Wewe unaona Gari kila siku inasumbua Injini na kuna Mtumiaji mwingine wa hiyo Gari ameikataa Kuinunua halafu Wewe na ushamba ushamba wako unakurupukua Kuinunua kwa Vijihela vyako vya ' ngama ' kwanini na Wewe isikumalize tu kwa Ajali? Uzuri wa Injini nyingi za siku hizi wala huhitaji hadi kumchukua Fundi ili akaangalie kama ni mbovu au nzima bali hata Wewe dereva tu mwenyewe unaweza ukagundua.

Naomba niishie hapa tafadhali na R.I.P sana Ndikumana.
 
Back
Top Bottom