Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifo vingi hutokea usiku usingizini
Ujumbe tosha huu, hapa dunian tunapita pita... ipo siku nitashangilia vifo vya watu flani si kwa mateso nayokumbana nayo...Rip inawezekana ni stress akifikiria chali ya r inasimamia show ya paapa.Maisha ya dunia ya kupita nashangaa watoao uhai wa wenzao kwa ajili ya Mali au Madaraka
Mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu kama punguani.R.I.P,kweli vya dunia tunaviacha juzi tu kapost anapata mahaba kwa mrembo mzuri leo Roho imeacha mwili.
Inatakiwa tujiandalie njia nzuri kwa kutenda mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu.
![]()
Kuishi na wanawake wengine siyo solution,ni kwamba hawakudigest kule kuachwa,kumbuka hawa wanaume ndo waliachwa.Mwanamme anaweza kulala na mademu kibao ila hata hawapendi.Mke wake ndo kila kitu.Hivyo hata kama alikuwa na wanawake wengine.Believe me kuona Irene kaolewa kimemuuma sana na alishindwa kabisa kulet it go.Kumbuka Walifunga ndoa kabisa na Irene.Memories never die.Acha kuhukumu, ndikumana alipoacha na uwoya alikuwa na anaishi na mwanamke mwingine mpaka mauti yamemkuta
Hata ivan alipoachana na zari alikuwa na wanawake mwingine zali nae alipita kwa wanae zaidi ya 2 kabla ya kuanza na diamond, huwezi walaumu wanawake hawa kuachana ni kitu cha kawaida
Ilikuwa ya bomaniKwani Ndiku si alifunga ndoa ya ki kristo na Uwoya? Au alibadili dini?
Mh!!!!kanisa katoriki unaweza kufunga ndoa na mtu wa dini nyingine na anaendelea na dini yake.
Aseee
depression ni mbaya sana , usijifanye ur ok while ur not ok, speak it loud people won't understand u but it will heal, ukijifanya am ok cjui Nina dem mkali cjui mimi mgumu itakucost kwa alivyokuwa anapost real he was not ok tujifunze pia. may ur Soul R.I.P