Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du1.Diamond ____ Ivan
2. Dogo Janja_____ ndikumana
3.
4.
5.
Mbona alikua ashapata mwanamke mwingine na wanajirusha instaInaonyesha alikua anateketea ndani kwa ndani. Mapenzi haya, kwa jinsi tulivyoumbwa wengi unamfia mtu mmoja tu? Si angechagua mungine tu. Wanawake walivyo wengi, tena wanawake wa kinyarwanda walivyo wazuri. Angejitwalia tu dada ake wa kinyarwanda mmoja akaweka ndani
Dah, bado wako honeymoon?Itakua cardiac arrest tu..alikua anahangaika sana recently huko instagram na inaelekea aliumia mnoo kuhusu the so called ndoa ya dogo janja..si kwa caption zile..
Mbona uzi wako upo haujafuta shost nimeuona uponashangaa niliweka thread imefutwa labda hajafa
Ndio nini!?1.Diamond ____ Ivan
2. Dogo Janja_____ ndikumana
3.
4.
5.
Mkuu hivi hawa kunguru wa Zanzibar (tunaowaita bongo movie) huwa wanajuta kweli? Hao waowane wenyewe kwa wenyewe siku mbili wakiachana wanauza magazetiNahisi Irene atajuta sana kwa hili!
Ndio huyo huyo ila usije kusema ni mkono wa Dogo Janja.
Mkuu kifo ni kitu kingine ukiangalia amezaa naeMkuu hivi hawa kunguru wa Zanzibar (tunaowaita bongo movie) huwa wanajuta kweli? Hao waowane wenyewe kwa wenyewe siku mbili wakiachana wanauza magazeti
Aisee huko duniani watu wameendelea,siku hizi mna mpaka mortuary za kiislam?aisee!habari ya kusikitisha, mume wa zamani za Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia. Alikuwa kocha msaidizi wa timu ya soka ya Rayon Sports ambayo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi nchini Rwanda. Uongozi wa timu hiyo umesema jana Katauti alifanya mazoezi na wachezaji wake akiwa buheri wa afya. Mwili wake umekutwa nyumbani kwake mjini Kigali akiwa amefariki dunia. Haijajulikana kifo chake kimesababishwa na nini kwani hakuwa mgonjwa na wala hajafanya ajali. Mwili wake umepelekwa monchwari ya kiislamu ya dispensari ya Rwampala kwa maombi ya familia yake kwani miili ya waislamu haihifadhiwi katika monchwari za kawaida kwa mujibu wa imani zao. Mungu ampe malazi mema peponi.
Sitaki kuamini jamaa amemuacha mtoto mkareeeee....R.I.P,kweli vya dunia tunaviacha juzi tu kapost anapata mahaba kwa mrembo mzuri leo Roho imeacha mwili.
Inatakiwa tujiandalie njia nzuri kwa kutenda mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu.
![]()