TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Sijui ataangaliwaje huko msibani, kwa kiasi flani ndiku alipata sana stress baada ya Irene kufunga ndoa.

Mapenzi haya, tujitahidi tupende kwa kipimo unakufa unamuacha mwenzio anastarehe.
Tunawapitisha watoto katika mazingira magumu hii picha sijui mtoto ataielewaje na ataichukuliaje
namfikiria mtoto
 
Aliyekuwa mume wa zamani wa Irene Uwoya ,Hamad Ndikumana Kataut ambaye pia alikuwa kocha msaidizi wa Rayon Sports amekutwa amefariki dunia ingawaje mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijawekwa bayana kwa kuwa hata jana alishiriki vizuri mazoezi na alikuwa bukheri wa afya.

Mwili wake kwa sasa umehifadhiwa mochwari ya Rwampala huku taratibu nyingine za mazishi zikiendelea kufanyika

View attachment 631101
Vifo vingi hutokea usiku usingizini
 
17e688dee4fec2a08bc331f5ddeade20.jpg
baba krish na mama krish
 
Jamani,itakuwa aliumia sana mkewe kuolewa tena.Dah imeniuma sana Rip ndikumana,Rip Ivan Semwanga.Mapenzi ni hatari sana kwa afya hasa ukiowa mwanamke asiejielewa na mbinafsi.
Acha kuhukumu, ndikumana alipoacha na uwoya alikuwa na anaishi na mwanamke mwingine mpaka mauti yamemkuta
Hata ivan alipoachana na zari alikuwa na wanawake mwingine zali nae alipita kwa wanae zaidi ya 2 kabla ya kuanza na diamond, huwezi walaumu wanawake hawa kuachana ni kitu cha kawaida
 
Rip inawezekana ni stress akifikiria chali ya r inasimamia show ya paapa.Maisha ya dunia ya kupita nashangaa watoao uhai wa wenzao kwa ajili ya Mali au Madaraka
 
innalillahi wainna ilayhi raajiun...maskini krishndiku hata hajamfaidi baba ake!
 
Back
Top Bottom