TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Apumzike kwa amani kadiri ya mapatano yake na mola wake.
 
kumbe kule insta alikua anaenjoi machoni tu lakini moyoni alikua na maumivu makali mweee.....uwoya sijui alimpa tako huyu jamaa maana si kwa kuumia kule

Inaonyesha alikua anateketea ndani kwa ndani. Mapenzi haya, kwa jinsi tulivyoumbwa wengi unamfia mtu mmoja tu? Si angechagua mungine tu. Wanawake walivyo wengi, tena wanawake wa kinyarwanda walivyo wazuri. Angejitwalia tu dada ake wa kinyarwanda mmoja akaweka ndani
 
Rest In Peace Ndiku...
Pole Irene kwa kuondokewa na mzazi mwezio
 
R.I.P,kweli vya dunia tunaviacha juzi tu kapost anapata mahaba kwa mrembo mzuri leo Roho imeacha mwili.
Inatakiwa tujiandalie njia nzuri kwa kutenda mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu.
9d49105c4d353136dbfacefd5462558b.jpg
 
Sijui ataangaliwaje huko msibani, kwa kiasi flani ndiku alipata sana stress baada ya Irene kufunga ndoa.

Mapenzi haya, tujitahidi tupende kwa kipimo unakufa unamuacha mwenzio anastarehe.

Kwa kweli, cheza kwa step. Ukiona hapaeleweki unajiondoa zako mdogo mdogo.
 
Back
Top Bottom