TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Kwa habari nilizozipata hivi punde kuwa Aliekuwa Mme wa Irine Uwoya amefariki Dunia jana usiku kwa ugonjwa wa moyo.

Taarifa zaidi zinakuja
4a9fae71096775cee3edcae0693cb3d3.jpg
Aisee mapenzi kumbe yanaua
 
kumbe kule insta alikua anaenjoi machoni tu lakini moyoni alikua na maumivu makali mweee.....uwoya sijui alimpa tako huyu jamaa maana si kwa kuumia kule
Mapenzi ya kweli hayo mkuu omba yasikukute ukute hata papa alikuw hampi basi tu mapenz
 
Upweke umemchukua huyu ndugu maskini alijitahid kutafuta faraja lakini wapi ikashindikana.. R.I.P ila uwoya namhakikishia hataishi kwa amani mpaka maulana anamchukua... Haina haja ya kufanyiana hivi kama binadamu labda kama kulikua na tatizo ila pia angemsaidia tuu yapite kwani ndo dunia yetu hii...

Enyi wanawake muwe na huruma jaman yanini kufanyiana hivi...
 
Inaonyesha alikua anateketea ndani kwa ndani. Mapenzi haya, kwa jinsi tulivyoumbwa wengi unamfia mtu mmoja tu? Si angechagua mungine tu. Wanawake walivyo wengi, tena wanawake wa kinyarwanda walivyo wazuri. Angejitwalia tu dada ake wa kinyarwanda mmoja akaweka ndani
Kila mwanamke na kitu chake special hujui alipenda nn kwa uwoya
 
yaaah ni true love hapo iliyopitiliza hakuna kingine maana ile ndoa ya ghafla na dogo janja imempa heartattack ya kupelekea icho kifo kabisaaaa

Wanasema ni CARDIAC ARREST.....Kama hivyo ndivyo bas ndoa haijahusika kwakweli
 
maskini inaumiza !jaman watu wajifunze kumove on !hata km mlipendana vipi mapenzi yakiisha kubali yaishe !polen sana familia ya ndikumana !
 
Aisee kumbe mambo ndivyo yalivyo

Habari ndiyo hiyo na kaacha ' msururu ' mkubwa sana Sinza Kijiweni Media na Tabata Relini Media huku mmoja wao akiwa pale Mikocheni Media ila sasa ni Bosi wa Sports katika Chama cha Jinsia yao.
 
Upweke umemchukua huyu ndugu maskini alijitahid kutafuta faraja lakini wapi ikashindikana.. R.I.P ila uwoya namhakikishia hataishi kwa amani mpaka maulana anamchukua... Haina haja ya kufanyiana hivi kama binadamu labda kama kulikua na tatizo ila pia angemsaidia tuu yapite kwani ndo dunia yetu hii...

Enyi wanawake muwe na huruma jaman yanini kufanyiana hivi...
maskini inaumiza !jaman watu wajifunze kumove on !hata km mlipendana vipi mapenzi yakiisha kubali yaishe !polen sana familia ya ndikumana !
Wanasema ni CARDIAC ARREST.....Kama hivyo ndivyo bas ndoa haijahusika kwakweli
Siku hizi cardiac arrest ndo cover!
Jamaa alikanyaga umeme mahali, na dada yetu yuko mashakani maana tetesi zilikiwapo mtaani kuwa "gari" lake hufanyiwa service, na dogo nae mzee wa NIKUPELEKE NGARENAROOOOO kama havaagi seat belt anapoendesha hilo gari basi kazi ipo.
 
Wanaume huwa tuna mitihani miwili maishani;
1. Kutafuta mafanikio kiuchumi
2. Kuwa na mke anayejielewa

Hayo ni kama masomo ya chuo ni lazima ufaulu yote ili uweze kugraduate ukifeli moja hasa hili (mwanamke) core subject, unakuwa umeshaharibu maisha yako.

[emoji26] [emoji26] [emoji26]
R.I.P brother...
Wakati kwa baadhi ya wanawake ni tofauti kabisaa

1. Pesa kutoka kwa mwanaume,,, azitumbue tuu
2. Kuvaa shela na kucheza kwaito siku ya harusi, mashosti wamkome lakini kuishi kama inavyotakiwa katika ndoa hilo hapana...

RIP Ndiku[emoji26]
 
Dally Kimoko msikie tu Dada nyuzi zake huwa hazimbakizi Mtu hasa ' zikisebeneka ' vizuri katika mfumo wako mzima wa Damu.
Acheni kumzushia banaa; mlimpima?? Au ndio majungu tu ya wabongo kama kawaida yao kuvumisha kwa vifo vya watu. Huyu jamaa anaonekana kabisa alimpenda sana huyu dada na alikua na msongo mkubwa sana wa mawazo.RIP Katauti.
 
Siku hizi cardiac arrest ndo cover!
Jamaa alikanyaga umeme mahali, na dada yetu yuko mashakani maana tetesi zilikiwapo mtaani kuwa "gari" lake hufanyiwa service, na dogo nae mzee wa NIKUPELEKE NGARENAROOOOO kama havaagi seat belt anapoendesha hilo gari basi kazi ipo.

Tetesi za gari ku ' miss' ni za kitambo mno kwa huyo binti tangu enzi zileeeee za yule mnene wa majengo pacha ya posta so kwakweli siwez kubisha. Nimewahi kua karibu na marehemu staa mkubwa wa senema hizi na niliona yaliyokua yanatokea kambini,moyo wangu uliapa kutojisumbua na hawa senema za tanzania kamwe!!
Ila kuanguka ghafla kama ilivyomtokea inawezekana ni shambulio kali la moyo kweli mkuu.
 
Yawezekana, ila wajua kuwa hali ile husababisha kualika mambo mengine mwilini, it might have triggered that cardiac arrest!!
 
Upweke umemchukua huyu ndugu maskini alijitahid kutafuta faraja lakini wapi ikashindikana.. R.I.P ila uwoya namhakikishia hataishi kwa amani mpaka maulana anamchukua... Haina haja ya kufanyiana hivi kama binadamu labda kama kulikua na tatizo ila pia angemsaidia tuu yapite kwani ndo dunia yetu hii...

Enyi wanawake muwe na huruma jaman yanini kufanyiana hivi...
Huoni hata Kwa zari karma haiwaachi salama
 
Siku hizi cardiac arrest ndo cover!
Jamaa alikanyaga umeme mahali, na dada yetu yuko mashakani maana tetesi zilikiwapo mtaani kuwa "gari" lake hufanyiwa service, na dogo nae mzee wa NIKUPELEKE NGARENAROOOOO kama havaagi seat belt anapoendesha hilo gari basi kazi ipo.
[emoji23] [emoji23] sio kwa tafsida hii
 
Acheni kumzushia banaa; mlimpima?? Au ndio majungu tu ya wabongo kama kawaida yao kuvumisha kwa vifo vya watu. Huyu jamaa anaonekana kabisa alimpenda sana huyu dada na alikua na msongo mkubwa sana wa mawazo.RIP Katauti.

Kwani kuna Mtu yoyote kataja labda Ugonjwa uliomuua Ndikumana au unawashwawashwa tu Mkuu? Acha Kiherehere na tena usitake Watu tukafunguka zaidi juu ya tatizo lake ili ndiyo ujue kwamba sababu Kuu ni nini. Ukipata muda jioni Saa 1 njoo maeneo ya Leaders Club katika Goli la Chips na Kiosk cha Mchezaji mmoja wa Yanga ambaye alipata taabu sana kwenda kumuona Nonda Shabaan Papii huko Kwao Congo ila ndiyo aliyemsaidia pia ' Ndiku ' kuja nchini hadi akasajiliwa na Simba SC kisha utayapata zaidi na kama hapo utaona mbali mida ya Saa 3 tukutane Magomeni Mikumi jirani kabisa na Kijiwe cha Timu ya Masela ya Friends Rangers ambako utakutana na Mchezaji mmoja ambaye sasa anaishi katika nchi iliyoifanya Italia isicheze World Cup mwakani akupe na mengineyo zaidi kwani Yeye ndiyo aliyempokea ' Ndiku ' huko ng'ambo na alilijua mapema / siku nyingi sana tatizo lake alilokuwa nalo. Kama ukishindwa huko kote kama unaweza nenda Mwananyamala Hospital kamtafute Nesi mmoja hivi mcheshi mcheshi sana pale jina lake la mwanzo linaanzia na herufi J na la herufi yake ya mwisho katika jina lake la Ubini / Ukoo linaishia na herufi E kisha atakupa status nzima ya Mrs. Dogo Janja. Kila la Kheri.
 
Back
Top Bottom