TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Hiyo miaka umenipangia wewe ukute ww ni mtoto wangu wa tano na huyo unaemtaja ameshaacha kazi serkalini muda mrefu sana mustafa jumbe anaitwa kama humjui nimekupa na jina
Salmar..
Achana na huyu mtoto mdogo kazaliwa juzi juzi
Lakini licha ya ivo mzee jumbe mwenyewe kakiri kwenye kitabu chake what he has been through since 1984...

Sisi tulokuwa karibu tukimfatilia mzee wetu tunajua uchungu wa wa shubiri alikuwa akipewa
 
Muda wote mlikuwa wapi kuongelea hiko "kifungo"? Leo ndo mmeona muda muafaka?
Unamiaka mingapi wewe???
Kifungo cha jumbe kinajulikana tangu siku ya kwanza kaanza kutumikia watu wanaandika sasa yapata miaka 30 na kitu...wewe unasema kimeanza julikana leo...
Watoto muwe na adabu sana mnapo kuwa kwenye minakasha kama hii..hata kama hatukuoni kwa sura
 
Alipo apa kuwa Rais/Makamu wa Rais alipoteza haki hizo zote. Haki hizo kwa sasa ni za Taifa, na taifa litaamua kama alivyojikabidhi kwa taifa kipindi anaapishwa.Full stop.
Jumbe ni msomi...hakukurupuka kuandika wosia kama huo na hali akijua kuwa aliwahi kuwa rais wa nchi.........
Alipovuliwa vyeo kwa nguvu kule dodoma..hujui kwama ina invalidate kiapo akichowahi kuapa?
 
Kitulo
Nakubaliana na wewe katika hoja zako kuwa jumbe ni moja wa wasomi wa kwanza kutoka makerere na kuwa alikuwa mwal wa seif malim hilo halina ubishi.......

Ila nikuambie kitu kimoja..jumbe alikuwa na agenda ya marekebisho ya muungano ambao wasiopenda walitwisha jina kuwa ni kuvunja muungano..
Jumbe alikuwa na vikao vingi vya siri vya ndani na viingozi waandamizi wa zanzbar kuelekea mkutano mkuu wa chama dodoma..si malim seif peke ake..

Kilichotokea baada ya seif kuwa anakubalika zanzbar mahasimu wake wakaona ili kufanya achukiwe na wananchi basi ni kumuhusisha na usaliti kwa jumbe ambae ni muumin wa serikali tatu na mamlaka kamili ya zanzibar

Propaganda hizi ndo zile zile zilizotumika kumchafua ahmed salim..komandoo mahfoudh na wengne wengi
 

Hivi ile Top layer ya wanamapinduzi wa kweli ya 1964 bado ipo? Huyu mzee si ndiye alikuwa amebaki pekee? Nikumbusheni wadau.
Nadhani kabaki mmoja tu..mzee wetu hassan nassoro moyo kwa kumbukumbu zangu
 
Watu wanaleta mzaha sana
 
Hujasoma wosia wake hakutaka kuzikwa kiserikali
 
Huyu ni mtu mkubwa sana,
R.I.P Jumbe
Kuwepo na mapumziko "Wiki" maana alipotezewa sana
Hiyo itadhihirisha unafiki wa chama na serikali..hskuwahi kupewa heshima hyo ya kualikwa kwenye dhima au jambo lolote la kitaifa tangu 1984...leo hii watoe muda wa kitaifa kwa maombolezo ya kifo chake...
 
Aliyemfunga Jumbe kule mjimwema alikuja kumalizwa na 'mwanawe' aliyemtegemea kwa kumsimamia 'apite'. alimfyeka kama majani pamoja na kuwa mgumu kama 'ndago'
Mkuu dangadunguri..
Sijakuelewa apo naomba unipe shule kidogo
 
mi mbona sielewi hicho kifungo? cha nyumbani ki vipi? Mwaka 2002 aliwahi kuja Geita kulikuwa na kongamano la kiislamu kwa muda wa siku mbili. Halafu kuna wakati alikuwa akivuka siku za Ijumaa kwenda kusali huko mjini.
Ameeleza kwenye vitabu vyake.....inakupasa kutumia akili sana na utulivu kumuelewa hajaeleza direct...
Sisi wengne tunajua na tulielezwa dhahiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…