Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Leta hoja na uonyeshe uwepo wa kiislam kuanzia karne ya kwanza hadi ya nne A.D na uhusuiano wake na serikali za wakati huo tena utaje na majina ya watawala wa wakati huo maana kila mtu anajua wazi kuwa Rome iliitawala dunia kuanzia B.C hadi 447 A.D ilipoanguka kisha kila sehemu kujitangazaia utawala wake. Hapa tunajadili kwa hoja na matukio ya ukweli ya enzi hizo ikiwemo kuzaliwa na kufufuka kwa BWANA YESU KRISTO na mambo kadha wa kadha yaliyolipata Kanisa baada ya YESU kurudi mbinguni, pia tunaangalia uhusiano wa Ukristo na dini zingine zilizokuwepo enzi hizo mfano: Mtume Paul alipofika Athene Ugiriki alikuta Wagiriki waanabudu mungu asiyejulikana Angalia Matendo ya Mitume 17:16-34. hakuna mahali Paul au Mitume wengine walikutana na uislam na ndiyo maana uislam hautajwi wala kuandikwa ndani ya Biblia kwasababu haukuwepo kabisa; ila roho ya mpinga Kristo inatajwa nayo husema Yesu hakuja katika mwili wala siyo Mkombozi wa wanadamu. roho hii ilikuja kujifunua baadaye miaka zaidi ya 500 baada ya Kristo.
Jibu sualiLeta hoja na uonyeshe uwepo wa kiislam kuanzia karne ya kwanza hadi ya nne A.D na uhusuiano wake na serikali za wakati huo tena utaje na majina ya watawala wa wakati huo maana kila mtu anajua wazi kuwa Rome iliitawala dunia kuanzia B.C hadi 447 A.D ilipoanguka kisha kila sehemu kujitangazaia utawala wake. Hapa tunajadili kwa hoja na matukio ya ukweli ya enzi hizo ikiwemo kuzaliwa na kufufuka kwa BWANA YESU KRISTO na mambo kadha wa kadha yaliyolipata Kanisa baada ya YESU kurudi mbinguni, pia tunaangalia uhusiano wa Ukristo na dini zingine zilizokuwepo enzi hizo mfano: Mtume Paul alipofika Athene Ugiriki alikuta Wagiriki waanabudu mungu asiyejulikana Angalia Matendo ya Mitume 17:16-34. hakuna mahali Paul au Mitume wengine walikutana na uislam na ndiyo maana uislam hautajwi wala kuandikwa ndani ya Biblia kwasababu haukuwepo kabisa; ila roho ya mpinga Kristo inatajwa nayo husema Yesu hakuja katika mwili wala siyo Mkombozi wa wanadamu. roho hii ilikuja kujifunua baadaye miaka zaidi ya 500 baada ya Kristo.
Umekubali Nyerere akiongozwa na kanisa Katoliki? Ushahidi niliokuletea umeukubali ??
Hayo ya historia umefundishwa na walimu hawa
Gay Catholic Priests ???