TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Jibu suali
Umekubali Nyerere akiongozwa na kanisa Katoliki? Ushahidi niliokuletea umeukubali ??

Hayo ya historia umefundishwa na walimu hawa
Gay Catholic Priests ???
 

Acha uzembe wewe. Mahakama gani ulimuhukumu marehemu Jumbe? Na kama alikuwa amefungwa hizo pension angezipataje? Unajuwa maana ya kufungwa au unaongea tu kwa jazba?
 
Acha uzembe wewe. Mahakama gani ulimuhukumu marehemu Jumbe? Na kama alikuwa amefungwa hizo pension angezipataje? Unajuwa maana ya kufungwa au unaongea tu kwa jazba?
Ni kwa vile hujui historia wala sheria ya nchi hii.

Sura ya 490 ya Sheria za Tanzania, namba 60 ya mwaka 1962, Preventive Detention Act, inampa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mamlaka, chini ya Saini na Muhuri wa Umma wa Mkuu wa Nchi, kumtia kizuizini mtu yeyote anaeonekana kwake kwamba anahatarisha Usalama wa Taifa, Ulinzi wa Nchi, Amani na Utulivu wa Taifa, bila ulazima wa mashtaka na bila muda maalum wa kifungo.

Jumbe alitiwa nguvuni Kigamboni, Dar-es-Salaam kwa kuchafua hewa Zanzibar baada ya kuhoji Muungano akiwa Makamu wa Rais wa Nchi. Jumbe hakuwahi kukanyaga tena Zanzibar wala kutoka Kigamboni.
 

Kwanza, kama ulisoma sheria utakumbuka mwaka wa kwanza kama mwanafunzi wa sheria katika introductory course ulifundishwa "rule of law". Rule of law did not apply kwa mzee huyu.

Pili, tatizo lilikuwa mgongano wa mawazo kuhusu muungano na pande zote mbili (Mwalimu na Jumbe) zilitakiwa ku-debate hili suala. "Preventive Detention Act" ni sheria ya ugandamizaji na marehemu Jumbe alikuwa anahoji baadhi ya mambo ya Muungano na alitaka kwenda mahakamani baada ya mwanasheria wake mkuu kuandaa kesi. Kuhoji vipengele vya muungano ndiyo kuhatarishaisha usalama wa taifa au mkuu wa nchi wa wakati ule was paranoid?

Kila nchi ilyoungana duniani kuna baadhi ya watu wanahoji muungano. Jimbo la Texas, Marekani kila siku linatishia kujitoa kwenye muungano. Waingereza kila siku wanahoji muungano wao lkn hujasikia raia yoyote ametiwa kizuizini au amekwenda jela. Hii ndiyo freedom of opinion and expression in a free society. Tanzania ya leo kila mtu anahoji kuhusu muungano na uslama wa nchi bado uko palepale?

Just an FYI: Sera za nchi yoyote duniani, wakati wowote ni majaribio (experiments). Hufanyika kukidhi mahitaji ya wakati ule. Vizazi vijavyo huboresha ili zile sera zikidhi wakati/kizazi chao. Malalamiko ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yalikuwepo na yataendelea kuwepo as long as huu muungano upo.

So, your assertion that mzee Jumbe did not deserve his benefits as a former Zanzibar president is not true.
 
So, your assertion that mzee Jumbe did not deserve his benefits as a former Zanzibar president is not true.
Sasa kama ali deserve, na alipata his benefits kwa nini tumkarabatie nyumba?

Ma Vice Presidents na Ma Rais wa Zanzibar wote wa Zanzibar na Bara waki renovetiwa ma jumba yao ya kifahari unajua ma bilioni mangapi ya umma yatapotea hapo?
 
Chanzo?

Kaka ...
 
Sasa kama ali deserve, na alipata his benefits kwa nini tumkarabatie nyumba?

Ma Vice Presidents na Ma Rais wa Zanzibar wote wa Zanzibar na Bara waki renovetiwa ma jumba yao ya kifahari unajua ma bilioni mangapi ya umma yatapotea hapo?

Labda ungerejea maandiko yako post #530 uyasome virzuri halafu urudi hapa.

Marais wote wa Tanzania wanapomaliza muda wao hujengewa nyumba na serikali. Huyu mzee kama mnavyoamini watu kama nyie he was a "disgraced leader" (BTW, I don't believe that), hakujengewa nyumba. Na sababu za kumdhalilisha zilikuwa baseless allegations based on selfishness. Ndiyo maana Mkapa aka renovate nyumba yake as a gesture of acknowledgment. Wewe ukaja na hasira na kuanza kufoka as shown in your post #530. Punguza jazba mkuu. RIP Alhaji Jumbe!
 
Jibu suali
Umekubali Nyerere akiongozwa na kanisa Katoliki? Ushahidi niliokuletea umeukubali ??

Hayo ya historia umefundishwa na walimu hawa
Gay Catholic Priests ???
Mbna huna hoja unatuletea habar za wikipedia zisizo na uhakika, kuna watu wachafu km waarabu na michezo ya kugeuzwa nyuma? Mfano mzur angalia tu wapemba weng walivyolegezwa na wanaume wenzao,
 
Mbna huna hoja unatuletea habar za wikipedia zisizo na uhakika, kuna watu wachafu km waarabu na michezo ya kugeuzwa nyuma? Mfano mzur angalia tu wapemba weng walivyolegezwa na wanaume wenzao,


HABARI GANI YA WIKIPEDIA NILIYOLETA ???
ETI HAYA NI KWELI ????


Thy two breasts are like two young roes that are twins, which feed among the lilies. – Bible : Song of Solomon


5 Maziwa yako mawili ni kama wana-paa wawili, Nyuma ya barakoa yako. Ambao ni mapacha ya paa; Wakilisha penye nyinyoro

10 Jinsi zilivyo nzuri pambaja zako, umbu langu, Bibi arusi, ni nzuri kupita divai; Na harufu ya marhamu yako Yapita manukato ya kila namna.

11 Bibi arusi, midomo yako yadondoza asali, Asali na maziwa vi chini ya ulimi wako; Na harufu ya mavazi yako Ni kama harufu ya Lebanoni.
 
Uislam umeundwa na nguzo nne,mojawapo ni biblia , wacha wapige kelele tu

ndio uliambiwa na padri wako kule soni ??

St Michael's Catholic Boarding School, Soni, Tanzania

A prominent United Kingdom member of the order, Fr Kit Cunningham, together with three other priests, were exposed after Cunningham's death as paedophiles.

While at Soni, Cunningham perpetrated sexual abuse that made the school, according to one pupil, "a loveless, violent and sad hellhole".

Other pupils recall being photographed naked, hauled out of bed at night to have their genitals fondled, and other sexual abuse.
Although known about by the Rosminians before Cunningham's death in 2010, the abuse was not reported by the media until 2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…