Kweli mkuu unafiki kwa kwenda mbele, hata kumtembelea walikuwa hawaendi wakati ni hapo Kigamboni tu.
RIP mzee wetu mtakutana nao huko huko kwa hakimu wa Haki.
MkuuQuinine ebu tujuze hao watu ambao walikuwa hawamtembelei Marehemu Abdul Jumbe huko Kigamboni ili bidi wakutaarifu Wewe Au Wewe ndio ulikuwa mlinzi wake?
Sio swal la kufanya alichokianzisha Jumbe.
Yeye ndo aliyekiuwa alichokianzisha Jumbe.
Huwezi fanya kile ulichomnyonga nacho mwenzio pasipo kutubu kwanza na kukiri makosa wazi wazi.
Huyu bwana Maalim ni wapi ulishamsikia akikiri kuwa ndiye aliyekwamisha mamlaka kamili Zanzibar?
Ni wapi alipoomba radhi?
Nijuze nipate kufahamu.
Nimechukia sana leoPamoja na yote hayo, Jumbe nae alikuwa mnafiki kwenye Suala hili la Muungano,
Kwanza, Karume kabla ya Kifo chake, alishaona mapungufu makubwa ya Muungano huu na alianza kufikiria kutoka ndani ya muungano au kubadirisha mfumo wa Muungano,
baada ya Kifo chake (Karume), Abdul Jumbe akachukua Kijiti, lakini akaua kabisa hoja za Karume za kurudi kwenye serikali tatu au shirikisho,
Abdul jumbe alifikia mpaka hatua ya kukubali kuunganisha vyama ASP-TANU kuwa CCM, kwa makubaliano ya kutofuta dhana nzima ya Mapinduzi hivyo chama kipya kiwe na neno Mapinduzi, hiyo yote inaonyesha dalili kuwa Jumbe, hakuwa muhumini halisi wa serikali tatu,
kutokana na kuhuisha hoja za Karume zilizokuwa zinauquestion Muungano, Pamoja na kujenga nyumba yake bara (Kigamboni) Jumbe akakosa mvuto kwa wana Zanzibar na akaonekana si mwenzao, na ili kurudisha trust yake alibidi aanze kutafuta uungwaji mkono tena na alianza kampeni zake kupitia nyumba za ibada.
Kwa sasa Jumbe ataonekana ni muungwa na mtetea Muungano lakini kwa uhakika toka 1972-1984 hakuwa hivyo
Cc: Pasco , Malafyale
Ni tatizo la kutafsiri nilikuwa na maana ya International court of justice. Samahani na kauli hii imo kwenyetuhuma dhidi ya Jumbe iliosemwa na MwenyekitiMahakama ya Katiba ya Kimataifa iko wapi duniani?
Nimechukia sana leo
Kuona akina Dr Shein wana najisi kabuli la Mzee Jumbe kwa kuligusa
Wana diriki hata kuweka udongo kumzika Mzee Jumbe
Watu ambao walikuwa wanakubaliana na Nyerere kum treat Jumbe kama MHAINI
Nimechukia sana
Dr Shein:Shein amekuwa Raisi juzi tu kipindi ambacho Jumbe ni mzee kabisa sidhani kama angeweza kubadilisha adhabu ambayo alishaitumikia akiwa na nguvu, mnamlaumu bure Jumbe aliadhibiwa na Nyerere
Sio kweliJumbe hakuwahi kukanyaga tena Zanzibar wala kutoka Kigamboni.
Dr Shein:
Alikuwa Waziri ZNZ
Alikuwa Makamu wa Rais wa TZ
Rais wa ZNZ
Kote huko no effort yyt aliwahi fanya kuhusu Mzee Jumbe!Hata kumtembelea sijawahi sikia alifanya hivyo
Waandishi wa habari walikuwa hawaruhusiwi kugusa nyumba ya Mzee Jumbe hadi anafariki juziMbona hujawataja AbdulWakil,Salmin,Bilal,Karume,Maalim Seif ?
Unawajua wote waliokuwa wanaenda kumtembelea Mzee Jumbe ?
Jumbe aliadhibiwa na Nyerere Raisi wa Muungano so hakuna Rais wa Zanzibar aliyekuwa na ubavu wa kuingilio hilo suala.Na Jumbe aliamua kuachana na mambo ya siasa akajikita zaidi kumtumikia Mungu ndio maana pamoja na uzee na ugonjwa alikuwa anaalikwa kwenye hafla/makongamano ya kidini
Kutoka Mji Mwema kwa shughuli maalum na kibali kitoke IkuluSio kweli
Jumbe alikuwa anakuja Zanzibar kila panapotokea haja. Kumbuka Jumbe alipoteza watoto wake watatu na mara zote alikuja mazikoni. Hata aliporejea India alifikia kwa mwanawe Mussa Mbuyu mnene mjini Zanzibar mpaka hali ilpotengmaa na kurudi Dar es salaam
mimiTatizo nililona kwako fikira zako zimekunyaa haziumkiki na kwa vile hata ukiambiwa chengine zaidi ya hayo kwako hayakuingii. Dunia ya sasa imebadilika watu wanahoji kisayansi hata uwepo wa dunia yenyewe na mungu. Sasa mtu kama wewe kipofu na macho yalipona ghafla mwanga na kunuona punda na upofu kurejea, basi kwako wewe chochote utakachoelezwa basi utaruka na kusema kama punda. Soma vitabu mbali mbali uijue dunia yako. Ukiyasoma ya kigiriki usiache na ya uturuki. Pia soma Adam in Islam, From Wikipedia, the free encyclopedia
Mh! badala ya kuuelezea uislam kihistoria na uambatanishe na facts zake angalau kuanzia mwaka 1A.D hadi 500A.D wewe unashia kusema eti Adam in Islam? jenga hoja; tukiwaambia lile jamaa liliwapiga chenga mnakuwa wakali matokeo yake ndo hayo ya kushindwa kuthibitisha uwepo wa dini yenu; ukweli ni kwamba uislam haukuwepo jamani kabla ya miaka 500 Muhamad ndo mwislam wa kwanza duniani akifuatiwa na mke wake,Tatizo nililona kwako fikira zako zimekunyaa haziumkiki na kwa vile hata ukiambiwa chengine zaidi ya hayo kwako hayakuingii. Dunia ya sasa imebadilika watu wanahoji kisayansi hata uwepo wa dunia yenyewe na mungu. Sasa mtu kama wewe kipofu na macho yalipona ghafla mwanga na kunuona punda na upofu kurejea, basi kwako wewe chochote utakachoelezwa basi utaruka na kusema kama punda. Soma vitabu mbali mbali uijue dunia yako. Ukiyasoma ya kigiriki usiache na ya uturuki. Pia soma Adam in Islam, From Wikipedia, the free encyclopedia
Hakuna ulijualo... tafuta kwanza dini hulipo hapo wewe ni mshirikina..!M
mimi
Mh! badala ya kuuelezea uislam kihistoria na uambatanishe na facts zake angalau kuanzia mwaka 1A.D hadi 500A.D wewe unashia kusema eti Adam in Islam? jenga hoja; tukiwaambia lile jamaa liliwapiga chenga mnakuwa wakali matokeo yake ndo hayo ya kushindwa kuthibitisha uwepo wa dini yenu; ukweli ni kwamba uislam haukuwepo jamani kabla ya miaka 500 Muhamad ndo mwislam wa kwanza duniani akifuatiwa na mke wake,
Waefeso (Uturuki)waliaminishwa ile sanamu ya artemi mungu mke ilishuka kutoka mbinguni
na wala haikutengenezwa na mtu Matendo 19:17-22, leo watu wanaamishwa kiwa qur an ilishushwa kutoka mbinguni wakati ni kazi ya warabu watatu ndo walioiandika copy&paste kutoka Agano la Kale.
sasa wewe unataka niamini upumbavu kama huu wa sanamu mungu mke.Duh nilikuwa sijui bado karne hii, ndani ya Tanzania, tuna majitu fukara wa akili. Ni kweli sisi sote hatukuwepo siku hizo ni kilicho mbele yetu ni hadithi za alfulela ulela tu. Lakini mengine tupimemungu mke ilishuka kutoka mbinguni
Hakuna cha makala ya Adamu kuwa mwislamu wewe, nimekutolea mifano mingi sana umeshindwa hata kuuelezea huo uislamu wako kabla ya miaka 500 A.D. wewe jiulize tu ni kwanini neno uislam halipo ndani ya Biblia? hata hilo tu limekuwa gumu kwako kulielewa? . Nimesema miungu na dini zote za wakati ule zimeandikwa katika Biblia ndani ya sehemu zote kuu mbili yaani Agano la Kale na Agano Jipya.sasa wewe unataka niamini upumbavu kama huu wa sanamu mungu mke.Duh nilikuwa sijui bado karne hii, ndani ya Tanzania, tuna majitu fukara wa akili. Ni kweli sisi sote hatukuwepo siku hizo ni kilicho mbele yetu ni hadithi za alfulela ulela tu. Lakini mengine tupime
Nimekupa chimbuko la habari ya Adam kuwa ni muislamu na makala ya kusoma. Kukubali kukataa ni juu yako. Lakini usilete hadithi zisio na mkia ukafikiri watu wote ni debe tupu watazipokea tu. wafuate wajinga waliwao.
Pamoja na yote hayo, Jumbe nae alikuwa mnafiki kwenye Suala hili la Muungano,
Kwanza, Karume kabla ya Kifo chake, alishaona mapungufu makubwa ya Muungano huu na alianza kufikiria kutoka ndani ya muungano au kubadirisha mfumo wa Muungano,
baada ya Kifo chake (Karume), Abdul Jumbe akachukua Kijiti, lakini akaua kabisa hoja za Karume za kurudi kwenye serikali tatu au shirikisho,
Abdul jumbe alifikia mpaka hatua ya kukubali kuunganisha vyama ASP-TANU kuwa CCM, kwa makubaliano ya kutofuta dhana nzima ya Mapinduzi hivyo chama kipya kiwe na neno Mapinduzi, hiyo yote inaonyesha dalili kuwa Jumbe, hakuwa muhumini halisi wa serikali tatu,
kutokana na kuhuisha hoja za Karume zilizokuwa zinauquestion Muungano, Pamoja na kujenga nyumba yake bara (Kigamboni) Jumbe akakosa mvuto kwa wana Zanzibar na akaonekana si mwenzao, na ili kurudisha trust yake alibidi aanze kutafuta uungwaji mkono tena na alianza kampeni zake kupitia nyumba za ibada.
Kwa sasa Jumbe ataonekana ni muungwa na mtetea Muungano lakini kwa uhakika toka 1972-1984 hakuwa hivyo
Cc: Pasco , Malafyale
Wacha tuone! ila mie nakitamani sana kitabu chake "THE PARTNERSHIP" sasa sijui nitakipata wapi ili nisome maana humo ndimo yanapatikana maneno yote ya ndg yetu JumbeHujui Hoja ya Sheikh Jumbe ndio sababu umejivuruga.
Jumbe hakuwa akipinga Muungano, alikuwa akiukubali sana na ndio sababu katika kuonesha Tanzania ni moja
1) Alikubali kuunganisha Vyama vya siasa ASP na TANU na laiti angekuwa Muoga basi asingekubali.
2) Alifanya ziara nyingi za kuhamasisha Maendeleo hata huku bara ndio sababu hata wakati Nyerere anaitisha kikao cha dharura cha NEC Mzee Jumbe alikuwa anatokea Musoma kwny ziara za kiserikal kuchochea Maendeleo.
3) Kujenga Nyumba Bara ni ishara yake kuonesha hakuwa na dhamira ya kuvunja Muungano bali kuleta Muungano wenye maridhiano na ndio sababu alikuwa akiandaa andiko la Muundo wa Serikal tatu liletwe kwny NEC na lijadiliwe ( aliamini katika kujenga hoja) lakini akafukuzwa kwa kuwa na hoja hiyo kama vile ni haramu kuwaza tofauti na kuleta hoja.
4) kuna Wengine makaja na hoja alikuwa anapambana na kina Seif tena mkawaita wapenda Mabadiliko sasa jiulize kama Jumbe alikuwa ndie
Aliesimamia kuunganisha TANU na ASP Zanzibar
Alieanzisha katiba ya Zanzibar na kuachana na kutumia Amri za Rais kutawala ( decree)
alienzisha Baraza la Wawakilishi na kuachana kutawala kwa kutumia Baraza la Mapinduzi
Alieweka bill of Human rights Zanzibar
Alieamua kuacha desturi ya kuwabagua Wapemba na kuwajumuisha Serikalini
Pamoja na mabadiliko yote aliyofanya bado tunamwita eti hakuwa Mpenda Mabadiliko na kina Seif ndio wapenda Mabadiliko.
Hujui Hoja ya Sheikh Jumbe ndio sababu umejivuruga.