Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Mungu amuweke mahali alipomuandalia, amen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay shukran mkuu.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (Arabic: إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ) is a part of a verse from the Qur'an which translates to "We surely belong to God and to Him we shall return."
Maalim Faiza,
Hakika ni msiba mkubwa kwangu na Tamim kwani alikuwa mzee wetu
sana na mtu tuliyekuwanae karibu mno.
Walikuwapo katika kundi letu Prof. Hamza Njozi na Dr. Ramadhani
Dau.
Mzee Jumbe alimpenda sana Tamim kwa ajili ya ile '' hard to imagine
exceptional intelligence'' yake aliyojaaliwa na Allah na Tamim alifanyakazi
kubwa sana ya uhariri wa kitabu cha Mzee Jumbe, ''The Partnership,''
zaidi akimzuia Mzee Jumbe abakishe baadhi ya mambo akimwambia,
Mzee Jumbe imetosha kuwa sisi tushayajua.
![]()
Hii picha tulipiga mwaka wa 2000.
RIP Mzee wetu.
Utasikia wazee wa mwendokasi watakavyomsifia marehemu sasa kama kawaida yao, wakati enzi za uhai wake hata kumuona tu pasipo hata kumsaidia huenda hata hawakuwahi kamwe.
Lakini hayupo tena mkuu!
Kwani mkuu alikua kifungoni na ni kwa nini mkuu alikua na kosa gani kubwa hivyo
Kumbe mkuu unafahamu alichokifanya maalim seifRIP Mzee Jumbe, poleni sana wanafamilia wote. Sijui Maalim Seif atasema nini?
Nadhani kunajambo alisahau yakuwa alikuwa kiongoz na aliapa kuzikubali sheria na katiba huku akiwa ameshika Quran sasa nilazima ajuwe atazikwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi zakuwazika viongozi. RIP mzee
Hivi alifanya kosa gani mkuu hadi akawa kwenye msukosuko?Wengine hadi anastaafu tulikuwa hatujazaliwa hivyo nifumbue macho kidogo mkuu.
sijakusoma mkuuAlitaka kutenganisha TUI na MAZIWA
Utawasikiaaa wanafiki wataanza kutoa sifa ken kem
Wote hawapo sasa kwy system hivi sasa,waliopo kwy chama na serikali hivi sasa hawahusiki na yote yaliyotokea!Serikar ikae pembeni juu ya msib huu wamemtesa mzee wa watu ingawa sina uwakika juu ya hili 100% ila hawakumtendea haki aachwe familia irudishe moyo nyum sio sawa
Mrangi tafadhali fanya japo heshima Kwa Marehemu sio masiasa wakati wote.
Inna lilahi wa inna ileihi rajuun.
Mwenye Ezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Amen