TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (Arabic: إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ‎‎) is a part of a verse from the Qur'an which translates to "We surely belong to God and to Him we shall return."
Okay shukran mkuu.
 
Serikar ikae pembeni juu ya msib huu wamemtesa mzee wa watu ingawa sina uwakika juu ya hili 100% ila hawakumtendea haki aachwe familia irudishe moyo nyum sio sawa
 
Maalim Faiza,
Hakika ni msiba mkubwa kwangu na Tamim kwani alikuwa mzee wetu
sana na mtu tuliyekuwanae karibu mno.

Walikuwapo katika kundi letu Prof. Hamza Njozi na Dr. Ramadhani
Dau
.

Mzee Jumbe alimpenda sana Tamim kwa ajili ya ile '' hard to imagine
exceptional intelligence'' yake aliyojaaliwa na Allah na Tamim alifanyakazi
kubwa sana ya uhariri wa kitabu cha Mzee Jumbe, ''The Partnership,''
zaidi akimzuia Mzee Jumbe abakishe baadhi ya mambo akimwambia,
Mzee Jumbe imetosha kuwa sisi tushayajua.

2016%2B-%2B1


Hii picha tulipiga mwaka wa 2000.

Karibu Mzee Mohamedi Saidi, twakusubiri utupe nondo za huyu shujaa, donoadonoa kidogo tupate kumsindikiza Babu yetu atokako ni kitalifa na endako ni kitalifa zaidi
 
RIP Mzee wetu.
Utasikia wazee wa mwendokasi watakavyomsifia marehemu sasa kama kawaida yao, wakati enzi za uhai wake hata kumuona tu pasipo hata kumsaidia huenda hata hawakuwahi kamwe.

Hivi alifanya kosa gani mkuu hadi akawa kwenye msukosuko?Wengine hadi anastaafu tulikuwa hatujazaliwa hivyo nifumbue macho kidogo mkuu.
 
Nadhani kunajambo alisahau yakuwa alikuwa kiongoz na aliapa kuzikubali sheria na katiba huku akiwa ameshika Quran sasa nilazima ajuwe atazikwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi zakuwazika viongozi. RIP mzee

Hukumbuki kuwa alivulia vyeo vyote na kutupwa jela wazi kwa umri wote?
 
Utawasikiaaa wanafiki wataanza kutoa sifa ken kem

Mrangi tafadhali fanya japo heshima Kwa Marehemu sio masiasa wakati wote.
Inna lilahi wa inna ileihi rajuun.
Mwenye Ezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Amen
 
Ngoja nione kama Maalim Seif ataenda kuhani huu msiba,kweli nitajua wanafiki hawana haya.
 
Serikar ikae pembeni juu ya msib huu wamemtesa mzee wa watu ingawa sina uwakika juu ya hili 100% ila hawakumtendea haki aachwe familia irudishe moyo nyum sio sawa
Wote hawapo sasa kwy system hivi sasa,waliopo kwy chama na serikali hivi sasa hawahusiki na yote yaliyotokea!
 
Acha tumseme marehemu mkuu maana kateseka sana
Mrangi tafadhali fanya japo heshima Kwa Marehemu sio masiasa wakati wote.
Inna lilahi wa inna ileihi rajuun.
Mwenye Ezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Amen
 
Back
Top Bottom