TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Mbona jiwe haujamtaja na yeye hajiuzulu, hili ni boko lake hakwepeki au unajifanya haujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Balozi Mahiga.Kama kifo hiki kimetokana na COVID-19 kuna watu watawajibika kujiuzulu.Taifa linaendelea kupoteza viongozi na kubakia na watawala katili. Tuchukue hatua,tuseme imetosha,vinginevyo bila lockdown tunaenda kuangamia sote.Sins uhakika watanusurika watu wangapi na ni kina nani hao?Sipati picha Tanzania baada ya COVID-19 itafananaje?
Pole ni waliofiwa wote tangu COVID-19 ianze.
 
Ila hili gonjwa limekuja kukata mzizi wa fitina, hakuna mbwembwe kwenye maziko ya viongozi wakubwa! Unazikwa kama hohehahe fulani hivi!
 
Kiongozi mmojawapo niliyemkubali sana, bora angeondoka yule anayetoa macho akiongea.

R.I.P Augustine Mahiga

Au modds mnasemaje?
 
Mimi nataka wale ambao huwa tunawatukana kuwa ni mabeberu wacheleweshe kidogo kugundua chanjo!
Mkuu uwezekano wa chanjo mpaka September,Hadi ikawe mass produced,ongeza miezi 6 mbele,
Pia ujue SI rahisi kupata chanjo ya virus,
Nionavyo kufikia may 15,,tutakua tutaongea kwa kuelewana sana
 
Kiongozi mmojawapo niliyemkubali sana, bora angeondoka yule anayetoa macho akiongea.

R.I.P Augustine Mahiga

Au modds mnasemaje?
Hakuna cha bora angeondoka fulani, kila mtu na siku yake, don't pray for someone's death when you know your day is just "unknown"!
 
Mkuu kwani rais wetu nae anaelewa kuwa hili ni janga? Nakumbuka aliwaambia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakachape kazi
 
Au labda maombi yetu hayakukubaliwa?

Maombi ya nini tena msomi wetu,

Zile mbwe mbwe tu za wanasiasa.

Kama ni maombi wale jamaa wa upako sijui keki na upuuzi puuzi mwingi tu wa kuombea wenye pepo ,umewasikia hata kutia mguu pale mloganzila kuombea wagonjwa..?

Chukua tahadhari epuka mikusanyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…