Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hili movie linatisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona jiwe haujamtaja na yeye hajiuzulu, hili ni boko lake hakwepeki au unajifanya haujuiHii corona naona imeingia Ikulu live mchana kweupe.
Ifike wakati viongozi wa Tanzania wajifunze kujiuzuru pale ushauri wao unapopuuzwa.
Waziri Mkuu na Waziri wa afya ilibidi wawe wamejiuzulu toka siku nyingi.
Sidhani kama msimamo wa Rais ndio msimamo wao, hawana namna sababu ya kulinda vibarua vyao.
Uhai ndio kila kitu hivyo vyeo mnakufa mnaviacha, kama kiongozi mkubwa hataki kufuata ushauri wa wataalamu ni kumwachia serikali aongoze peke yake.
Ameniuma..he was very humble jamani...
Huyu atakuwa mjinga kweli kweli,, ndio tunaowagongea hawa! Yaani yuko kibra wewe unaperuzi? Nikimkamata lazima ahame!Unamweka kibra huku unaperuzi?
Hii corona naona imeingia Ikulu live mchana kweupe.
Ifike wakati viongozi wa Tanzania wajifunze kujiuzuru pale ushauri wao unapopuuzwa.
Waziri Mkuu na Waziri wa afya ilibidi wawe wamejiuzulu toka siku nyingi.
Sidhani kama msimamo wa Rais ndio msimamo wao, hawana namna sababu ya kulinda vibarua vyao.
Uhai ndio kila kitu hivyo vyeo mnakufa mnaviacha, kama kiongozi mkubwa hataki kufuata ushauri wa wataalamu ni kumwachia serikali aongoze peke yake.
Mkuu uwezekano wa chanjo mpaka September,Hadi ikawe mass produced,ongeza miezi 6 mbele,Mimi nataka wale ambao huwa tunawatukana kuwa ni mabeberu wacheleweshe kidogo kugundua chanjo!
Hakuna cha bora angeondoka fulani, kila mtu na siku yake, don't pray for someone's death when you know your day is just "unknown"!Kiongozi mmojawapo niliyemkubali sana, bora angeondoka yule anayetoa macho akiongea.
R.I.P Augustine Mahiga
Au modds mnasemaje?
Mkuu kwani rais wetu nae anaelewa kuwa hili ni janga? Nakumbuka aliwaambia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakachape kaziWaterloo! Ume-panic ndugu yangu, jitulize kidogo maana unakoelekea, utakufuru! Hili ni janga, limetukumba wote, tupo hatarini, lakini tuki-panic hatutajenga chochote! Can I repeat? Tujitulize, tutafakari, alafu tuchukue hatua staiki, hata kama ni comment hapa!
Au labda maombi yetu hayakukubaliwa?
Lakini posho wamwachie nani? Ndugai anapoona wenzake wanakufa anafkiri posho zao zinaenda kwa waliobaki......IT IS ALL ABOUT POSHO.Bunge lisitishwe
Kwani ichi hizi hizi zenye chumi kama zetu mbona wameweza kuwaweka ndani raia zao na wakaweza kuwasaidia? Hapo BOYA nn ww mawazo mafupi kama mkia wa mbuziWakikaa ndani utawalisha acha uboya wewe.