TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Ukweli lazima usemwe; usidhani marehemu alikua anakaa pekeyake hapa Dodoma. Ndugu tunajua chanzo ni nini; kwahiyo usibeze wanairushia serikali lawama.

Upumbavu tu kuamini kua Rais wetu ni mTanzania.
 
"Experiment "ya magu inatokota. Matokeo kinyume na matarajio.
 
Amna acha waendelee kwanza....Huu ushauri wameutoa wabunge wa upinzani km mara nne lkn ndugai anasikiliza kwanza jiwe kasemaje asipomruhusu hawezi kufanya chochote.....

TUNDU LISSU ANGETUVUSHA VIZURI SANA WKT KM HUU
Kwa hili nasimama na ndugai,,,yaani wapinzani siwapendii,,yaani hata wakitoa ushauri wa maana kiasi gani,siwezi kukubali na nao,Bora korona kuliko Hawa wapinzani,
Maana wao lengo la Ni waonekane wazuri kwa wananchi ilu wapate kura,
Naomba ndugai aendelee na Moyo huo huo,asiwasikilize hata kidogo
 
#UkaidiWaMagufuli unaligharimu Taifa. Na hawa ndiyo walipaswa wamshauri na wakomae bila kujali vyeo vyao alivyowapa. Wanakaa kimya, madhara ya COVID19 yanaanaza kutoka na wanaanza kuumia wao. Bora nisiwe Waziri wa Magufuli kuliko kufanya kazi kwa UNAFIKI na Magufuli.

Mwambieni UKWELI nyie MAWAZIRI na WABUNGE, la sivyo mtakwisha. Mungu siyo Mjinga moto wa COVID19 kauelekeza kwenu.
 
Agustino wote mkae mkao wa kula week hii ni yenu. Alianza jaji mstaafu sahivi mzee Mahiga...next hatujui ni nani
Hii ngoma kama kitenesi, kinaweza kudundia kiraracha. God forbid.
 
Reactions: SMU
So amefariki kwa ugonjwa gani? Au kuna kinachoendelea tusichokifahamu.
 
So amefariki kwa ugonjwa gani? Au kuna kinachoendelea tusichokifahamu.
 
Ukweli lazima usemwe; usidhani marehemu alikua anakaa pekeyake hapa Dodoma. Ndugu tunajua chanzo ni nini; kwahiyo usibeze wanairushia serikali lawama.

Upumbavu tu kuamini kua Rais wetu ni mTanzania.
Watoa matusi haraka haraka ni watu wenye akili ndogo sana hasa wanapokuwa wanafanya hivyo kwa hisia bila kuwa na taarifa kamili. Kwa maoni yako sasa wewe unaamini kuwa kila kifo kinachotokea Tanzania ni kwa sababu ya korona na ni makosa ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…