TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Rest in peace Brain ya nchi, daah amezunguka dunia, yaani walimuogopa kiasi hiki muda wote anakuwa nje tu, ndiomaana mafisadi walijitawala sana,

R.I.P Brain na Image ya nchi
 
Black Night,
Hawa siku hizi wapo kuwa shughulikia wapinzani .. thamani yao ishakua kama polisi tu. BORA JWTZ hatuwaoni kwenye harakati za kuwang'oa chadema
 
Kuna Mbunge machachari Sana Kenya(Moses Kuria) Yeye alitoa tahadhari kwamba jamii iwe makini ili watu wenye Nia ovu wastumie janga la COVID-19 Kudhuru watu...
 
H
Hawa siku hizi wapo kuwa shughulikia wapinzani .. thamani yao ishakua kama polisi tu. BORA JWTZ hatuwaoni kwenye harakati za kuwang'oa chadema
Inakera sana, yaani utadhani wao wanaishi taifa lingine tofauti na hili letu.
 
Apumzike kwa amani! Dodoma hali siyo nzuri, viongozi wanazimika ghafla, kwa kuwa hawafi kwa CORONA, Basi huenda kuna kitu kisichojulikana kinapita kwa viongozi wetu kwa kivuli cha kuwafanya waugue ghafla na kukata moto.

Jitu lisilojulikana pia linapita mitaani na kuwachukua watu wa kawaida kabisa kwa kuwaziba pua na mdomo hata wasiweze kupumua. Jitu hili ni hatari kuliko CORONA. Wenye uwezo wa kuona visivyoonekana kwa macho ya kawaida, lipigeni jitu hili, linamaliza watu.
 
Kauli popular vifo vya vigogo

kigogo B ameugua ghafla wakati akikimbizwa hospital kwa bahati mbaya amepoteza maisha

Mabaharia leo tutajadili hii kauli mto wami hapa
 
Hakuna cha bora angeondoka fulani, kila mtu na siku yake, don't pray for someone's death when you know your day is just "unknown"!
Siku yangu siijui ila kumuombea mwingine kifo aah hiyo nafanya mchana kweupe coz me sio mnafiki. Koleo ni koleo sio kijiko kikubwa

Au modds mnasemaje?
 
Wanamuogopa Rais wao Mpaka yeye Aseme wao hawana Maamuzi Ila Siku si Nyingi Watakimbia mmoja mmoja.
Kwahiyo wanamuogopa rais kuliko kifo[emoji849]!

Yeye mbona kajificha chato huku akiambia watu wachape kazi kama kweli anamaanisha basi arudi mjini nae akachape kazi.

Hao wabunge wakiendelea na hivyo vikao vyao basi acha corona nae aendelee kuchapa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom