TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Tunambiwa tuchape kazi wakati yeye kajificha KIJIJINI KWAO,,, halafu mijitu humu inasapoti tuu eti ooh kwani chato sio TANZANIA? kuna maana gani ya kua Na Ikulu si kila Rais angefanyia kazi napojisikia,,HUYU KAJIFICHA.. HALI NI MBAYA KAMA ISINGEKUA MBAYA ANGEKUA DODOMA AU MAGOGONI
Uzuri ni kuwa hii kitu inawapiga MATAGA pia
 
Tanzania imepoteza mwanadiplomasia makini💔
Apumzike kwa amani Balozi Augustine Mahiga
 
ruhi,
Kama wewe ni mwana wa karibu basi pole sana kwa msiba huko. Ila nitakulaumu iwapo mzee wenu alipata dalili za ugonjwa halafu hamkumpeleka hospitali hadi anaelemewa ndipo unakuja kulalamikia serikali. Taarifa hiyo iinasema kuwa alipelekwa hospitali na kufika akiwa ameshafariki.

Ugonjwa wa korona hauuwi mara moja, bali huwa unaanza kidogo kidogo mpaka unafikia kuzimisha moyo au mapafu baada ya siku kama tatu hivi na zaidi; na dalili yake ya kwanza ni homa.Serikali haiwezi kuja nyumbani kwa kila mtu kumpima homa kujua kama ameathirika, na serikali haiwezi kuzuia ugonjwa usiingie nchini.Kazi ya serikali ni kuhakikisha kuwa aliyeathirika anapata matibabu mazuri.

Hata hivyo pokea pole zangu za dhati kwa kumpoteza ndugu wa karibu ambaye alikuwa na influence sana kwenye jamii.
 
Corona sasa Ikule na Chato itapendeza zaid,
Dodoma pekee ainogi.
 
Bunge lisitishwe
Tunawahurumia na kuwasemea ila wao kwao sawa ndio maana wamekubaliana kuendelea na vikao😃😃 wachache wanalalamika lakini hawachukui hatua yoyote zaidi kuingia vikaoni na posho wana sign
Tujililie sisi na familia zetu mkuu
 
Watu wema wanaondoka wanabaki watu waovu wasio na faida duniani hapa ndipo uweza wa Mola auchunguziki
 
Back
Top Bottom