harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Ningekua mvivu kusoma ningesha hisi anaeongelewa ni wema sepetu[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri ni kuwa hii kitu inawapiga MATAGA piaTunambiwa tuchape kazi wakati yeye kajificha KIJIJINI KWAO,,, halafu mijitu humu inasapoti tuu eti ooh kwani chato sio TANZANIA? kuna maana gani ya kua Na Ikulu si kila Rais angefanyia kazi napojisikia,,HUYU KAJIFICHA.. HALI NI MBAYA KAMA ISINGEKUA MBAYA ANGEKUA DODOMA AU MAGOGONI
THE HAG, IMCHUKULIE HATUA, ATATUMALIZAUnajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
eeeeh..MUNGU wangu!!!! Mmmmh! Hivi ni hatariii eeeh!!
Hapa ndio pa kuanzia.Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
Tunawahurumia na kuwasemea ila wao kwao sawa ndio maana wamekubaliana kuendelea na vikao😃😃 wachache wanalalamika lakini hawachukui hatua yoyote zaidi kuingia vikaoni na posho wana signBunge lisitishwe