mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ugonjwa utatumaliza. Serikali isiwe kichwa ngumu watu wakae ndani hali ni mbaya.
Halafu anasema endeleeni kuchapa kazi. Hao wabunge huko bungeni wanafanya nini? Watu watakwisha kwa tamaa ya posho badala ya kuangalia Kwanza afya zao.
Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Mbona mara mbili mbiliMahiga RIP
Isiwe ni wewe una mshauri Magu asitoe namba sahihi ya vifo vya watu wanaofariki na Covid 19. Ukweli ni ukweli watoe hizo #. Siyo jambo la kushangaza mbona 1st world wanakufa 1000+ kwa siku.TUNAZIDI KWISHA, TUNAZIDI KUPUKUTIKA, ILA WANATUPA MOYO KUWA SIO CORONA
Hivi ndugu yangu huna namba ya simu ya Magu uongee naye moja kwa moja. Wewe ni mkongwe sana MMM
Siyo wazee hata vijana wanakufa usijidanganye.Mmmm huu mji mbona utakua mgumu, mji gani utakao kosa mzee?
Wakikaa ndani utawalisha acha uboya wewe.Huu ugonjwa utatumaliza. Serikali isiwe kichwa ngumu watu wakae ndani hali ni mbaya.
Iingie mara ya ngapi wakati tangu tumwone kwwnye mawe siku hiyo hiyo ilituaHii corona naona imeingia Ikulu live mchana kweupe
Yesu wangu!!!hivi ni kweli?