TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Mzee wangu umeondoka wakati bado uwepo wako unahitajika ingawaje mara ya mwisho kukutana na ww ni 2016 Ngong hotel Nairobi ulikuwa mtu wa mtu asiye na majivuno
 
rip
IMG-20200501-WA0001.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Humble Dreamer, Wafanyakazi watachukuaje tahadhari??...waache tu kwenda kazini bila ya ridhaa ya mabosi wao??

As long as maisha yanaendelea kama kawaida vifo vitazidi tu..Yaani hadi makanisa hadi leo watu wanaenda kufanya ibada..like serious?
 
Sa hivi kama uma mzee wako ana matatizo ya moyo au kisukari jitaidi kumlinda sana na pia asipate hata hizi tetesi au ukweli kuhusu corona mana zitamuondoa haraka.
Ndiyo mana Mkuu kamchukuwa Dkt mama Chaula atoke wizarani awe karibu yake
 
Back
Top Bottom