TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Jaman afu wanasema sio korona, lini viongozi wamefyekwa namna hii mfululizo tangu kuwekwa misingi ya taifa hili? Mnaficha nn? Mh raisi tangaza hali ya hatari, watu wako wanapukutika.
Rest in peace balozi Mahiga. 😭😭😭😭
 
Hio corona inatakiwa iyauwe maccm yote maana yametesa watu sana tens wale wates wakuu wakiongozwa na baba yao pamoja na bashite wanatakiwa wafe kabisa.
Mkuu kwa huyu mzee nimesikitika sana!Sijui hii huruma imetoka wapi ila nimeumia sana!
 
Kweli vijana pia tunakufa, na sikua na lengo la kumaanisha kua vijana hawafi ila nawaza tu busara tutapata wapi wakati wazee wote wenye hekima zao wanaondoka, Kwikima, Augostino, Mahiga......
Agustino wote mkae mkao wa kula week hii ni yenu. Alianza jaji mstaafu sahivi mzee Mahiga...next hatujui ni nani
 
Back
Top Bottom