Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Kwani naye si anachapa kazi.Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
Hayo mabarua yaliyoandikwa Leo asubuhisubuhi wakati wee bado umelala yamesharushwa mitandaoni.
Kwani Kuna tofauti gani yangeandikwa Magogoni ama Chamwino?
Sent using Jamii Forums mobile app