TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

jamani tudiambizane tu aliugua ghafla wakati miaka yote hajaugua ghafla...

aya...
 
Je haya ndiyo majibu ya Yale maombi yetu yaliyopewa baraka na mtukufu rais?
Je yeye hakufuata ushauri wa kujifukiza ambao hata humu baadhi yetu wanaupigia debe?
Hajafa kwa coona?
Atazikwa na watu wasiozidi kumi?
Tuchukue tahadhari, tuache mazoea, ugonjwa unaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom