TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Unategemea BBC wasome mabaya. Mungu amlaze mahali pema peponi
Mkuu, Kwa mara ya kwanza sijaona comment mbovu juu yake iwe Facebook, Tweeter au hapa JF, Sio kitu cha kawaida.

Kuna kubwa la kujifunza.
 
Ukweli Mahiga ni mtu wa kipekee sana. Sijawai kua nae karibu wa kuwasiliana nae lakin huwa namfili sana kwa Character yake na historia yake.

Mungu ailaze roho yake mahali pema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sielewi utamsema vibaya Marehemu Mahiga kwa mabaya yapi. Japo watu wanasema Marehemu halaumiwi lakini kwa Marehemu Mahiga, hata wakati wa uhai wake, hapa JF sikuwahi kusikia mtu yeyote akimsema vibaya.

Amemaliza safari yake kwa amani na upendo kwa wanadamu wenzake. Na hii ndiyo amri kuu kuliko zote - UPENDO. Mwenyezi Mungu ampumzishe katika mkao yake ya milele kwa amani. Tunamwomba Mungu amjalie msamaha pale alipopungukiwa angalao kwa kuangalia yale mema ambaye huyu ndugu yetu aliyatenda kwa wanadamu wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
seedfarm,

Ukiona hivyo jua huo ni Ujumbe Kuntu kabisa kwa Watanzania wote kuwa 2015 tulikosea na huyu Marehemu ndiye angetufaa.
 
Tujifunze kuwapa sifa njema wangali hai watusikie, unafki ni kawaida ila sio kitu kizuri.
 
Mkuu, Kwa mara ya kwanza sijaona comment mbovu juu yake iwe Facebook, Tweeter au hapa JF, Sio kitu cha kawaida

Kuna kubwa la kujifunza
Dah inaonesha jins gan ambavo hakuwa mtu wa makando kando

Its not over until its over...[emoji769]
 
Hivi najiuliza mtu miaka 75 ni waziri kweli hivi hakuna vijana Raisi wakusaidie. Jamani mimi nikifika hata 62 usinipe cheo kwanza natamani nipumzike Nile pension yangu jamani.Huyu balozi kazaliwa 1945 kweli kweli bado ni waziri duuuuuuu
Vitu vingine hawa graduate wa IFM na UD wa sasa hawaviwezi mkuu acha wenye Weledi wao wavifanya
 
Sidhani kama imeisha wahi kutokea kabla ya hii yaani ndani ya siku kama kumi israeel (sio nchi )kafika mjengoni mara tatu (hattrick )pumzika kwa amani mzee wetu mahiga
 
Dah!Kati ya vifo vya viongozi hapa Tanzania vilivyoniuma sana ukiondoa
Mwalimu Nyerere, Edward Sokoine, Rashid Kawawa, Brigedia Hashim Mbita, Dr Mahiga anafuatia.
 
Dah hii picha mkuu sidhan kama ni sahihi kuwa apa maana mtu anaweza jiuliza huyo ni mtoto wake au mkewe?

Japo naona ni Mwanae ila what about the others?
Duh! Walivyokumbatiana nadhani ni mkewe! Mzee alipoint kitu cha uhakika! Mjane kama ndio huyo na anaona comment yangu nampa pole Sana! Pia namkaribisha in box!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi najiuliza mtu miaka 75 ni waziri kweli hivi hakuna vijana Raisi wakusaidie. Jamani mimi nikifika hata 62 usinipe cheo kwanza natamani nipumzike Nile pension yangu jamani.Huyu balozi kazaliwa 1945 kweli kweli bado ni waziri duuuuuuu
Baraza lazima liwe na mchanganganyiko wa mawaziri wenye umri tofauti tofauti! Ukiweka vijana watupu ni sawa na gari inayotembea bila ya girisi, wazee ni girisi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom