TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Hat hawa wabunge wana makosa makubwa. Ilibidi wajali afya zao hata kama ni kwa gharama ya kupoteza fedha na nafasi zao. Wangeungana wote waseme hali ni mbaya na vikao vya Bunge haviwezi kufanyika wangefanywa nini? Hii corona ni reality check. Haihitaji siasa za kisanii wala ushabiki mbuzi tuliozea sisi watanzania. Ni aidha uwe mkweli na kufuata kanuni au uwe mnafiki na uangamie. Na mbaya zaidi anayesema tuchape kazi amejifungia mahali salama. Hivi mtu mmoja mwenye maono potofu namna hii anawezaje ku-control watu wote na kuwaangamiza na tukakubali tu?
Wabunge wa upinzani walitaka serikali ilete hili jambo la corona kama dharura na wapate taarifa za Serikali...ila Ndugai na serikali ya chama chake hawakuona umuhimu wowote.

Jamaa akaenda chato akawaambia hata mataifa yaliyoathirika mabunge yao yanafanya kazi...ndo hivo wanatekeleza amri ya mhimili mwingine ...wangefanyia hata nyumbani hilo bungeni kwa kuwa wana laptop wamepewa.

Rest in Peace Dkt Mahiga.
 
Duh R.I.P Mahinga, mm nilijua ana miaka 80+
 
Sexer, Maxence Melo hawa modes wako wa siku hizi ni bure kabisa, huu uzi wangu niliouQoute una dhumuni la kuelezea jinsi watu walivyopokea kifo cha mh Mahiga kwa utofauti na wanasiasa wengine, hao modes wako wameunganisha na uzi wangu na wa Tangazo la kifo cha Mahiga!

Wanashangaza sana hawa watu wako. Ikiwezekana uzi utenganishwe tupate fursa ya kujadili kwa nini huyu mzee kauzunisha watu itikadi zote tofauti na viongozi wengine wa kisiasa. Moderator

Sent using Jamii Forums mobile app
 
REST IN PEACE.SIO KILA KIFO NI CORONA ,UKICHEKI UMRI NAO NI FACTOR NA PIA KWA UMRI HUO MAGONJWA NYEMELEZI NI MENGI KWA KWAKUWA KINGA IPO CHINI.
Nia yako tuichukulie poa corona!
Go demeti!
 
Lock down... Lock down.... Lock down.

Tufanyeje muelewe....

Piga chini Bunge..
Acha uko bungeni Wanyooshwe muhimili unaendeshwa na mtu mmoja, wakati wana uwezo wa kuwajibisha ila anawaburuza na kuwapukutisha Watakimbia Wenyewe huko bungeni we subili utaona
 
Wewe ni mpumbavu. Mimi ni mfanyakazi wa siri kali,nisipoonekana job bila taarifa na maelezo ya kueleweka mwajiri wangu ananichukulia hatua. Automatically bila official declared lockdown toka kwa mwenye mamlaka,sitakuwa na cha kujitetea zaidi ya kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za kazi idarani kwetu. Hapo unaona bado kuna kujilock down mwenyewe!!??
Mfanyakazi wa serikali hawezi kuwa na kauli za hovyo kama zako. Sasa kama unataka kazi kwa nn unalilia lock down! Yaani hauko objective.
 
Bundi alitoa tahadhari mapema wakaendelea na ujinga wa kusomesha namba sasa tunaanza kujua bundi alimaanisha nn
 
Lockdown ndiyo itakayo tuokoa

It's too late. Transmission kwa sasa imesaambaa beyond human control....

Kufunga milango ya KUINGILIA na KUTOKEA ni functional tu pale ambapo nyoka alikuwa bado mmoja....

Ingekuwa rahisi kumtafuta huyo mmoja na kumuua. Kwa sasa minyoka imeshazaliana mamilioni, ukifunga milango si ndiyo mtaliwa wote?

Mpaka hapa suluhu ni moja tu. Kukimbilia kwa mwokozi YESU KRISTO, MUNGU MUUMBA na MWOKOZI wa watu wote.....

Yeye hashindwi jambo lolote. Hawezi kushindwa na kiumbe (korona) alichokiumba mwenyewe. Hii kitu TAUNI - CORONA imeachiliwa na Mungu mwenyewe ili atenge kati wanaomwabudu Mungu wa kweli YEHOVA na wanaoabudu miungu mingine ya uongo, sanamu, ng'ombe, miti, dragon nk....

Mungu anasema nasi binadamu hivi;

"......nimeweka mbele yenu UZIMA na MAUTI. Chagueni UZIMA mkaishi......"
(Kumb. 30:15)

Kwa hiyo ni HIARI ya kila MTU sasa kuchagua aidha UZIMA ama MAUTI/KIFO CHA KORONA....!!!
 
Usije kuta mzee baba alikuwa anatoa ushauri usiotakiwa nchini Malawi.

RIP mzee Mahiga.

Sent using iphone pro max
 
ni kipindi cha namna yake kushuhudia vifo vyingi vya viongozi na watu mashuhuru kwa mpigo kuwahi kutokea kwa mfuatano naman hii katika historia ya nchi hii...pumbika kwa amani Dr.
 
Afisa Uchaguzi,
Asante. Ndio maana nikasema huu ugonjwa ni reality check ya wananchi na viongozi wetu. Tunatakiwa kuwa wakweli na tusijifiche kwenye ukungu wa ushabiki mbuzi na siasa za kisanii!
 
Bunge lina uwezo wa kumtoa, at least theoretically. I think it is now time for them to come together na kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.
Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
 
Sa hivi kama uma mzee wako ana matatizo ya moyo au kisukari jitaidi kumlinda sana na pia asipate hata hizi tetesi au ukweli kuhusu corona mana zitamuondoa haraka.
Sasa ukimzuia asipate hizi tetesi si ndo hatakuwa serious mkuu? Hizi habari zapaswa ziwekwe wazi ili watu wachukue tahadhari na wajue kwamba corona si mafua. Ukitaka kuamini kwamba watu hawako serious bado, pita mtaani kwako. Mtu hana kazi wa inshu yoyote YA LAZIMA, ila anazurura tu vilingeni, af ni mtu mzima sana.Smh!!
 
Tumsikilize Mkuu wa Nchi.
Screenshot_20200501-111730.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom