Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Wabunge wa upinzani walitaka serikali ilete hili jambo la corona kama dharura na wapate taarifa za Serikali...ila Ndugai na serikali ya chama chake hawakuona umuhimu wowote.Hat hawa wabunge wana makosa makubwa. Ilibidi wajali afya zao hata kama ni kwa gharama ya kupoteza fedha na nafasi zao. Wangeungana wote waseme hali ni mbaya na vikao vya Bunge haviwezi kufanyika wangefanywa nini? Hii corona ni reality check. Haihitaji siasa za kisanii wala ushabiki mbuzi tuliozea sisi watanzania. Ni aidha uwe mkweli na kufuata kanuni au uwe mnafiki na uangamie. Na mbaya zaidi anayesema tuchape kazi amejifungia mahali salama. Hivi mtu mmoja mwenye maono potofu namna hii anawezaje ku-control watu wote na kuwaangamiza na tukakubali tu?
Jamaa akaenda chato akawaambia hata mataifa yaliyoathirika mabunge yao yanafanya kazi...ndo hivo wanatekeleza amri ya mhimili mwingine ...wangefanyia hata nyumbani hilo bungeni kwa kuwa wana laptop wamepewa.
Rest in Peace Dkt Mahiga.