TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Ni ngumu sana ndugu yangu. Huko ulikoanzia, haukuisha kwa kila mtu kujiangalia mwenyewe. Huu ni ugonjwa wa jumuiya. Na vita inabidi ipiganwe na jumuiya nzima. Utajifungia ndani kwa miezi 6 wewe mwenyewe wakati watu milioni 58 wako nje wanapiga misele, haisaidii.

Viongozi wale matapishi yao na kufanya lililo sahihi kwa nchi kabla moto haujawaka kisawasawa. Ndio umeenza hivyo.

Ni muda kila mtu aanze jiangalia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kifo kimeniuma kama cha mzee toka baba wa taifa afariki mzee ni wapili kwa kifo kutoka ccm kunigusa

Nawaombea tena Warioba, Butiku na Mzee mwinyi wawe salama popote walipo.
Mwinyi ni mnafiki sana ndio maana alikula kelbu ya nguvu.
 
Sa hivi kama uma mzee wako ana matatizo ya moyo au kisukari jitaidi kumlinda sana na pia asipate hata hizi tetesi au ukweli kuhusu corona mana zitamuondoa haraka.
Ni kweli mkuu. Na pia tujaribu sana kuongeza kinga ya mwili kwa kula vyakula vyenye vitami c kwa wingi. Ili kuvielewa vizuri, we Google tu, taarifa hiyo hapo
 
Kwanini Cheo chake hasa kile cha Ukurugenzi Mkuu wa SSIT na Ukurugenzi wa Usalama Idara ya Ndani ( DIO ) havijatajwa?

R.I.P sana Jasusi Mbobezi na Mahiri kuwahi kutokea Tanzania.
 
Alipokufa Mama Mchungaji nilicomment kuomba mwana JF mmoja aanze kurikodi vifo vipya. Sorry guys i believe wazee kama hawa wakiondoka we need to celebrate because wanaachia fursa kwa new UDSM graduates!! i believe wasomi wa zamani wa bongo ni selfish and greedy na wao ni sababu ya sera mbovu na umaskini wa nchi hii! R.i.p Mzee
 
Back
Top Bottom