Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaAlipokufa Mama Mchungaji nilicomment kuomba mwana JF mmoja aanze kurikodi vifo vipya. Sorry guys i believe wazee kama hawa wakiondoka we celebrate because wanaachia fursa kwa new UDSM graduates!! R.i.p Mzee
Wakamchukue aje kuongoza nchi Dar sio kujificha chato huku wenzie aliyowaambia wapige kazi wanapotea. Hazina zinapotea pasi sababu
Mtu wa kututafsiria ndio kesha kata moto!!!Popper's Falsificationism
Mkuu, kama uko Dar tembelea Keko, Tandika, Mbagala, Temeke mwisho halafu njoo na mikakati ya jinsi ya ku-effect total lockdownLockdown ndiyo itakayo tuokoa
Karibu tuko chobingo mja tunakata kvnt [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtamlaumu bure tu, Jiwe alisema mwenyewe ameshachoka haiwezi kazi ya Urais ila amelazimishwa tu, kwa hiyo inatakiwa kuridhika na matokeo. Kuonesha msisitizo kakimbilia zake Chato , msipomuelewa basi tenaHapa sasa nikukaa ndani tuu! Wale ambao tulitegemea watasimama kutulinda wanajilinda wao kwanza!
Apumzike kwa amani! Corona imeleta usawa kwenye suala la afya!