TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Mkirindi,
Acha porojo! Weka muziki 😀😀gari limechanganya kitonga.
 
Alipokufa Mama Mchungaji nilicomment kuomba mwana JF mmoja aanze kurikodi vifo vipya. Sorry guys i believe wazee kama hawa wakiondoka we celebrate because wanaachia fursa kwa new UDSM graduates!! R.i.p Mzee
Hahahaha
 
Hili ni janga kubwa sasa.

Nilitaka kushauri viongozi waende kwa wakubwa wa dunia na mpango mzuri wa lockdown ili tupate ufadhili na kila mwananchi kwenye maeneo ya lockdown aingiziwe fedha hizo za kujikimu kwa njia ya simu lakini nna wasiwasi na matumizi tofauti,hawaaminiki viongozi.Wanaweza kupewa hela na tusizione na watu wakafa kwa njaa ndani ya nyumba zao.So hilo tuliache.

Nawaza ile mbinu ya kutumia app ya simu waliyoitumia Korea kuidentify shared locations za waathirika wa corona ili kufanya tracing na quarantine.Again hili nalo halina maana kwetu maana kuvaa PPEs tu hatuwezi,sasa hayo makubwa tutaweza wapi?

Kwa ufupi ugonjwa huu umeexpose tatizo kubwa ambalo watanzania wanalililia siku nyingi Mungu awasaidie liondoke.Nalo ni ombwe la uongozi bora.

tuna tatizo kubwa sana ambalo hadi liondoke ndio hata na corona itatibika.
Let fate decide.

And who knows that fate might be ugonjwa ukapiga hadi kichwani na ukombozi utokee.
Maana ndio jadi yetu hadi bakora ya kichwa ndio tunaelewaga kama mwalimu Nyerere alivyosema nami nibadili maneno yake kidogo tu.."bakora ikapiga miguu,akarukaruka na kusema Mungu wangu....ikapiga mgongoni akajinyonga kama nyoka huku akisema My God...ikatandika ya kichwa kelele zikawa kubwa kwa sauti ya juu Maweeeeee..kila mtu akastuka kwa kelele hizo"..😣
 
Eeeh MWOKOZI usintoe roho niepushe na hili balaa,chemsha bongo kabla hujachakaa,chemsha bongo kabla hujapagawa
 
Zaman tulikua tukiona barua ya msigwa unajua ni utenguzi na uteuzi sasa hivi ni mwendo wa rambirambi RIP Nguli Mahiga you have done a lot to this country better than anybody currently kwenye serikali ya sasa Tosamaganga inakulilia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tunakushukuru na kukuthamini Balozi Mahiga. Ulitutumikia kwa moyo wako wote, ulifanya kazi zako kwa ufanisi na umahiri mkubwa, ulijiheshimu na kuheshimu kila mtu. Hakika hakuna atakaepinga kwamba wewe ulikuwa mwerevu sana.

Hakika Taznania tumepoteza, Hata hivyo umetutangulia tu, kwa kuwa hii ni njia yetu sote.
Pumzika kwa amani Balozi.
 
Chadema Wabunge washaambiwa na KUB kwamba wasiende bungeni na wafanye self isolation.

Poleni sana wafiwa.

DSM wagonjwa wengi - Majaliwa
DSM watu wanapukutika - Bashite
Arusha hali ni Mbaya - Msando.
Pigeni Nyungu - Jafo
Endeleeni Kuchapa kazi,No lockdown - JIWE
 
Hapa sasa nikukaa ndani tuu! Wale ambao tulitegemea watasimama kutulinda wanajilinda wao kwanza!

Apumzike kwa amani! Corona imeleta usawa kwenye suala la afya!
Mtamlaumu bure tu, Jiwe alisema mwenyewe ameshachoka haiwezi kazi ya Urais ila amelazimishwa tu, kwa hiyo inatakiwa kuridhika na matokeo. Kuonesha msisitizo kakimbilia zake Chato , msipomuelewa basi tena
 
Wabunge 3 wameondoka, Mbunge 1 mstaafu kaondoka, Mkuu wa Wilaya 1 kaondoka, Naibu meya 1 kaondoka, Mkuu wa Uhamiaji 1 kaondoka.

Sio kila kifo kinasababishwa na Corona ila sababu ni Corona.

Mungu wapokee waja wako na uwahifadhi katika makazi stahili.
 
Daaa taifa limepoteza mtu muhimu mnoooo nazan jiwe ataanza kuelewa consequence za kujifanya mjuaji kila k2
 
This is real Sad..
Tumepoteza Asset tayari ila ndio njia ya kila mmoja wetu.

Pumzika kwa Amani mzee wangu.!

Umeacha Legacy and Thank you for your Outstanding performance. [emoji120]
 
Back
Top Bottom