Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
P.K.A mpiganaji wa Serikali mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikieni hapa akitetea na kushangiliwa na CCM yetu:
Mzee Tupatupa
VUTA-NKUVUTE hebu eleza kidogo kuhusu utata huu, kwamba wewe ni mwanachama wa chama pendwa lakini muda mwingi hauko pamoja nao kimawazo na kimtazamo. Hii imekaaje?
Msikieni hapa akitetea na kushangiliwa na CCM yetu:
Mzee Tupatupa
unamanisha ukiwa mbishi inabidi wakukumbushe majina kama Horace Kolimba, Imran Kombe, nk siyo?Mkuu, CCM haina tabia ya kusema kweli. Ukisema kweli unasemwa kuwa ni mpinzani. Nadhani umenielewa
Mzee Tupatupa