Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Asante kwa taarifa, lakini Kiswahili chako kibovu sana! "ametangulia mbele ya haki huko Dubai", hii nini maana yake! Aliyekwambia Mwenyezi Mungu anaishi Dubai nani? Unataka kusema Dubai ndiko mbele ya haki?? Najua umekosea, jifunze kunyoosha maelezo!View attachment 317991
Aliyewai kuwa Mwakilishi wa bunge maalum la katiba na Waziri wa wanawake na watoto Zanzibar na Makamu wa Jumuiya ya wanawake wa CCM ametangulia mbele ya haki huko Dubai baada ya kurejea matibabu yake huko India.
Mwenyeenzi Mungu amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema. Amin
Ubarikiwe!