TANZIA: Bi. Asha B. Makame afariki dunia

inna lillah wainnailayhi raajiun!ALLAH amrehemu...ila daima wazanzibar tutakukumbuka kwa kauli na msimamo wako huu madhubuti "hii nchi(zanzibar) watu wamepindua,haiwezi kutoka kwa makaratasi..."(emphasis added) cc. bunge la katiba. Si haba fikra zako naona zinadumishwa na kina Shein,Seif Ali Iddi,Kificho,Nahodha,Mohd Abou,Ali Vuai na makada wengine wenye uchungu na afro-shirazy/ccm kuliko zanzibar na wazanzibar!
 
Mwnz?mungu si Athumani........................................................!!
 
Maisha yetu ni mafupi sana, miaka 70+ or - na unayoyafanya na kuyasema katika miaka hii ndiyo yanakufanya uwe fulani.
Msingi mkubwa wa hii miaka ni kupenda na kushirikiana na viumbe vingine ulivyovikuta duniani. Tungelikuwa tunaweza kumuuliza binadamu baada ya hii hatua basi angeliulizwa alimaanisha nini kutokutoa nchi kwa 'vijikaratasi' wakati ndio mfumo tuliokubaliana.
R.I.P mama, umeondoka lakini majadiliano yanaendelea na huenda nchi ikatolewa kwa hizo karatasi!
 
Msikieni hapa akitetea na kushangiliwa na CCM yetu:


Mzee Tupatupa
Hahaha
1.kuufyanta katoa maana
2.SMz ilipatikana kwa mapinduzi
3.Zanzibar inaitwa Zanzibar empire watu weusi
4.Jusa ajitazame juu mpaka chini

Huyumama alikuwa nomasana
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
 
Mkuu, CCM haina tabia ya kusema kweli. Ukisema kweli unasemwa kuwa ni mpinzani. Nadhani umenielewa

Mzee Tupatupa
unamanisha ukiwa mbishi inabidi wakukumbushe majina kama Horace Kolimba, Imran Kombe, nk siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…