Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Asante kwa taarifa, lakini Kiswahili chako kibovu sana! "ametangulia mbele ya haki huko Dubai", hii nini maana yake! Aliyekwambia Mwenyezi Mungu anaishi Dubai nani? Unataka kusema Dubai ndiko mbele ya haki?? Najua umekosea, jifunze kunyoosha maelezo!View attachment 317991
Aliyewai kuwa Mwakilishi wa bunge maalum la katiba na Waziri wa wanawake na watoto Zanzibar na Makamu wa Jumuiya ya wanawake wa CCM ametangulia mbele ya haki huko Dubai baada ya kurejea matibabu yake huko India.
Mwenyeenzi Mungu amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema. Amin
Namnukuu: na mimi namwambia jussa sasa zanzibarrrrr ni nchi ya kimapinduzi serikali ya kimapinduzi haitolewi kwa karatasiiiiii labda watupindue na uwezo huo hawana maana sisi ndio wenye mamlaka. CHUNGENI NDIMI ZENU
Laana ya kusaliti maoni ya wananchi.
miss chagga hapo pekundu umetuacha kwenye mataalqlq kwa amani tu
Jf kwa vituko, duhAsante kwa taarifa, lakini Kiswahili chako kibovu sana! "ametangulia mbele ya haki huko Dubai", hii nini maana yake! Aliyekwambia Mwenyezi Mungu anaishi Dubai nani? Unataka kusema Dubai ndiko mbele ya haki?? Najua umekosea, jifunze kunyoosha maelezo!
Ubarikiwe!
mkuu namaanishamiss chagga hapo pekundu umetuacha kwenye mataa
Mi sijakupatapata clearly hebu nieleweshe hiyo maana ya IqIqmkuu namaanisha
Allah amlipe kwa alioyafanya maiti hasemwi jamani najuwa mnahasira lakini Allah unajuwa kila kituAkapumzike alipojiandalia
swaga tu mkuuMi sijakupatapata clearly hebu nieleweshe hiyo maana ya IqIq
Poa miss chagga kwa swagaswaga tu mkuu