mungu akuweke mahala pema mama jasiri wa kiafrika. tutakukumbuka kwa kutetea maslahi ya wanyonge zanzibar.View attachment 318027
TANZIA: Makamu Mwenyekiti wa UWT Zanzibar Asha B. Makame afariki dunia huko Dubai akitokea nchini India kutibiwa.
Bi. Asha Makame alipata umaarufu kwenye Bunge la Katiba kutokana na michango yake wakati mijadala.
Basi mpeni pole , marehemu alaumiwi lakini huyuuu!!View attachment 317991
Aliyewai kuwa Mwakilishi wa bunge maalum la katiba na Waziri wa wanawake na watoto Zanzibar na Makamu wa Jumuiya ya wanawake wa CCM ametangulia mbele ya haki huko Dubai baada ya kurejea matibabu yake huko India.
Mwenyeenzi Mungu amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema. Amin
Duhhh!!!! Siku hii nilipitwaje? Aiseee mama anaongea huyooo anyway basi tu si kazi yetu kuhukumu.....RIP AshaMsikieni hapa akitetea na kushangiliwa na CCM yetu:
Mzee Tupatupa
Good riddanceWatu mnakitu mnataka kusema kuhusu huyu mama lakini kama mnajishtukia vile!!!???
naona mama B. Makame ameufyata sasa ataufyatulia kaburiniRIP Kada
Mzee Tupatupa
Comment yako si bure.Asante kwa taarifa, lakini Kiswahili chako kibovu sana! "ametangulia mbele ya haki huko Dubai", hii nini maana yake! Aliyekwambia Mwenyezi Mungu anaishi Dubai nani? Unataka kusema Dubai ndiko mbele ya haki?? Najua umekosea, jifunze kunyoosha maelezo!
Ubarikiwe!