Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Umeelewa alichoandika?Wewe unajua kuji maintain??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa alichoandika?Wewe unajua kuji maintain??
YaaniAiseee nasikiaga tu kupigwa bomba watolewe sijui ni sperms sijui ni nini hata sijui vizuri
Biblia imekataza kabisaNi laana hiyo kutoka kwa muumbaji huwezi kutumia sehem ya kutolea uchafu mwilini kwa matumizi mengine afu ubaki salama
Uko sawa
Na colon cancer ina waua sana pia
Kuna jamaa alisema kuwa shoga unapunguza 20 yrs ya life span yako Regadless uko wapi.
We ni mwanaume?Acha umbea, Elton John kawa shoga miaka mingapi? Nae kafa ? Mxiew uchawi tu , kila Nafsi itaonja umauti
We ni mwanaume?
NI ahoga mmoja alikuwa anakaa mtaa wibu kinondoniNdio nani huyu?
Hakuna haja ya kugombana ndugu yanguAcha umbea, Elton John kawa shoga miaka mingapi? Nae kafa ? Mxiew uchawi tu , kila Nafsi itaonja umauti
Swadaktaaandege wafananao...
SawaMwanamke
Akikujibu unitagWe ni mwanaume?
KaogeKuna mmoja alikufa haraka haraka juz kati shoga maarufu bongo nimemsahau jinaa
Jamani acheni umbea? Kaacha watoto?Mashmash hata kibanda cha chumba kimoja hajaacha,pole Kajala kuondokewa na mtu wa karibu!
Hakuna haja ya kugombana ndugu yangu
Kama unatetea ushoga mimi skuungi mkono.
Na niliyo ya sema mimi ni sayansi sijatunga, Elton John si sawa na Bilal Mashauzi,
Elton yule ni exception kwa sababu ana uwezo wa kujicare