Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Kijana wake ushoga aliuanza zamani sana tena bila mama yake kujua! Kwa hilo namtetea! Na hadija kopa kipindi hicho alikuwa mtu ....kaanza ubazazi na ulevi alivokuja Dar....sasa hivi kawa " yamle "Ndo sababu hata kijana wake alikua shoga.