ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,974
- 2,920
RiP Bob
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leukemia 😭😭😭😭
BREAKING: Safaricom CEO Bob Collymore confirmed dead.
SAFARICOM CEO Bob Collymore dies of cancer at his home in Nairobi; chairman Nicholas Nganga says his condition worsened in recent weeks.View attachment 1143355
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni kubwa zaidi ya mawasialiano ya simu Afrika Mashariki Safaricom, Bob Collymore ameaga dunia, kampuni hiyo imethibitisha.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Safaricom, Collymore amefikwa na umauli asubuhi ya leo Jumatatu Juni Mosi 2019 nyumbani kwake jijini Nairobi.
Mwenyekiti wa kampuni hiyo Nicholas Ng'ang'a amesema kuwa afya ya Collymore ilikuwa mbaya majuma ya hivi karibuni.
Collymore, alichukua likizo ya matibabu ya miezi tisa mwishoni mwa mwaka 2017 na kuelekea nchini Uingereza kwa ajili ya matibabu ya saratani.
Alirejea Kenya mwezi Juni mwaka jana, Gazeti la Standard media nchini Kenya limeripoti.
Marehemu ameacha mke na watoto wanne.
Collymore alianza kuongoza gurudumu la Safaricom mwaka 2010 kutoka kwa Michael Joseph ambaye kwa sasa ni mmoja wa wajumbe wa bodi ya kampuni hiyo, pia mwenyekiti wa bodi ya shirika la ndege la Kenya Airways.
Mwaka 2017 wanahisa walipiga kura kuongeza mkataba wa Bob Collymore kwa miaka miwili baada ya mkataba wake kuisha.
Mkataba aliokuwa akiufanyia kazi ulikuwa unatarajiwa kufikia tamati mwaka 2020 na kumfanya kuwa Mkurugenzi aliyekalia kiti hicho kwa muda mrefu zaidi kwenye historia ya kampuni hiyo.
View attachment 1143558
Too sad aisee! Kifo hakina huruma.Jamaa alikua noma sana, aliambiwa na daktari kwamba amebakiza mwezi mmoja tu, akaichukulia poa.
Binafsi ninaweza kupanic na kufanya makuu ya ajabu nikijua nina mwezi mmoja uliosalia kwenye maisha yangu chini ya hili jua.
ichoboy01 hatakufa.Kifo ni kiboko!
poleni Sana wafiwa NI kwamba ni lazima kila mtu kufa
pineapples!!!Mwenyekiti wa safaricom anaitwa Nicholas ng'ang'a,,,
kibongobongo mtaani ng'ang'a ni mbwa,,
AYU. :14:1
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
Pole kwa familia
hakuna mutu atabakiichoboy01 hatakufa.
Duh! Haya maradhi ya ajabu sijui huwa yanatoka wapi. Chronic leukemia.Ugonjwa mbaya sana huu
It's all useless. Life is useless. 😞😞😕😕Sometimes human beings can hardly believe that God is the only healer of any irreversible and incurable diseases/sicknesses but Doctors treat!! People perish due to lack of vision. I would advise any rich person or any individual from amongst the elite and incidentally are suffering from such incurable diseases, should put their pride aside, recognize that there is a Creator(God) and the same merciful God has sent forth His servants to cure the sick in Jesus’s name. Jesus never said good bye, He is alive! To build your faith go through the videos on www.youtube.com/scoanvideos or watch one Christian Channel by the name Emmanuel Tv. However before making any attempts to visit the area medical report from government approved hospitals or University teaching hospital is mandatory!! Any type of sickness be it liver cancer, blood cancer, sleep apnea, kidney failure, diabetes, osteoarthritis, lung cancer, spinal code injuries, drug addition etc are instantly healed!! No payments before or after, everything is totally free, avoid fraudsters. However what matters is your faith and willingness, remember people perish due to lack of vision!! However do not forget to recall that dying is the formal process of starting another way of life - heaven destined for every body. RIP Bob C.
Duh! RIP
Akili kubwa kama kizi kutuondokea hivi hivi....
Mungu Katoa Mungu Katwaa...amina.
Kumbe unaogopa kufa, mi nilishawahi kunyooshewa a gun at point blank range na wahuni.
Unawajua bloods wewe na jinsi ilivyokuwa zamani?Kama ni wahuni tu,Ilikua feki hiyo, muulize Hamorapa alipoiona yenyewe