Tanzia:Bosi Wa SafariCom Kenya Amefariki!

Hapo sasa sijui lakini nimesoma daily nation na inakaa kama alitaka awe cremated masaa yake yakifika.
Wacha nikuulize mbona hupendi cremation?
It's bad, and i can't imagine the sight of a burning person hata kama wanasema anakuwa kawekwa ndani.

Vilevile Messiah akija hawa watu hawatafufuka they're gone milele
 
Watafufuka tu maana kilichochomwa ni mwili sio nafsi , Messiah akirudi kitakachofufuliwa ni nafsi.
 
Sawa lakini Messiah lazima kachukia haiwezekani binadamu wajao wakose natural gas, mchwa wakose chakula mafuta ardhini yakosekane kamkosea sana Mungu kujifanya hataki kuwa kwenye mlolongo wa food chain😂
 
Back
Top Bottom