Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mwendazake alihudumu akiwa Daktari Bingwa wa Mishipa ya Fahamu & Ubongo (Neurologist) Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifikirie jambo ambalo ni hakika.R.I.P..Umauti nikiufkiria sana nakonda kabisa..
Asante Mkuu.Muhimu Tuombe Mwisho Mwema Tu.Usifikirie jambo ambalo ni hakika.
Hii itakuwa wave 3!Wave 3 ?
Yule hakuna aliyesikitika,Mungu fundiKwa huyu watanzania tumepata pigo ila sio kwa yule aliyutotoka mwezi march