Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
AmenKwanini wasife!! Wao ni nani mpaka wasife! Nyote tutaondoka, isipokua Mungu ndie atabakia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenKwanini wasife!! Wao ni nani mpaka wasife! Nyote tutaondoka, isipokua Mungu ndie atabakia
Ni raia wa Cuba alikuwaPole kwa Familia na Wanajamii wa BMC.
Hivi alikuwa ni m-Cuba?
Pumzika kwa amani Daktari japo itakuwa siyo mtanzania
Pole kwa Familia na Wanajamii wa BMC.
Hivi alikuwa ni m-Cuba?
Ubatili mtupu na kupuliza upepo!Unaseka na mavitabu usku kucha, kujituma, end of the day unakufa[emoji24][emoji24][emoji24] kifo kuwa na huruma Basi hii dunia hamna ambae atajua kuifaidi coz UNAWEZA ukatafuta alafu ukapata ukafa na kufa