TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

Unanikumbushia kuna askari alitoka vitani akafika nyumbani salama kabisaa. Kesho yake wanafanya maandalizi ya kutoa shukrani na sherehe hakufika asubuhi kaondoka usingizini
Mungu ana yake na kila mtu amempangia atakufa lini na wapi.Mwaka 1979 tulivorudi vitani toka Kagera rafiki yangu tulipigana naye kumtoa nduli tena tulikuwa frontline.Ajabu tumeponea chupuchupu kufa mara nyingi tu ajabu kaja Dar kakaa miezi mitatu katandikwa na malaria akafariki.simple like that kazi ya mungu haina makosa
 
Pole yao sana wafiwa... kwa maana sasa atakua kabaki mmoja au?
 
Itakuwa wew ni muislamu buda, maana mawaidha yenu uwa yanatishia amani ata uhai unauona hauna thamani tena
 
Ukifikiria kifo bwana yaani unaweza usitafute kwa bidii.
Me kanuni yangu natumia kila kilichopo duniani kadiri ya uwezo wangu.
Kama kula nakula sana, natomba sana na nasali sana. Mungu mwenyewe atajua nikifa anisamehe vipi.
 
Mwendo ameumaliza na sasa amelala usingizi wa mauti kusubiri marejeo ya Kristo aidha kufufuka ufufuo wa kwanza ule wa wenye haki au ule wa pili wa waovu. Bwana atusaidie kuzihesabu siku zetu tujipatie moyo wa hekima

Pole nyingi kwa familia na tasnia nzima ya utabibu
Pumbavu kabisa...tuondolee hekaya za Muhuni Ellen G White
 
Mwendo ameumaliza na sasa amelala usingizi wa mauti kusubiri marejeo ya Kristo aidha kufufuka ufufuo wa kwanza ule wa wenye haki au ule wa pili wa waovu. Bwana atusaidie kuzihesabu siku zetu tujipatie moyo wa hekima

Pole nyingi kwa familia na tasnia nzima ya utabibu
amen, ubarikiwe mtumishi
 
Itakuwa wew ni muislamu buda, maana mawaidha yenu uwa yanatishia amani ata uhai unauona hauna thamani tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Mambo ya akhera[emoji16]
 
Ukifikiria kifo bwana yaani unaweza usitafute kwa bidii.
Me kanuni yangu natumia kila kilichopo duniani kadiri ya uwezo wangu.
Kama kula nakula sana, natomba sana na nasali sana. Mungu mwenyewe atajua nikifa anisamehe vipi.
Heeheehee[emoji16][emoji16]

Umeambiwa utumie hivyo vitu kwa kiasi
 
Back
Top Bottom