TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

Chanzo cha kifo chake ni nini?

Mwenyezi Mungu awafariji wazazi na ndugu zake.
 
Pole kwa Familia na Wanajamii wa BMC.

Hivi alikuwa ni m-Cuba?
 
Uchungu wa nini sasa hutaki kufa?

Sitaki kufa ila sina jinsi, hasa hasa huku ukubwani starehe ya kula Mbususu ndio imenifanya nione Mungu alitupa miaka michache mnooo alfu ukizingatia Mbinguni wanasema hakuna Mbususu … ! So sad [emoji24]
 
Mkuu hapa hadhi ya R.I.P uliotumia ya MWENDAZAKE ina kasoro ungetumia Marhemu tu, kwasababu hadhi hiyo sasa tumemtunuku mpendwa wetu Mtukufu jpm tu.
Mpendwa wako wewe na nani? Kwa upande wangu huyu Neurologist alikua mtu muhimu sana kuliko huyo "mpendwa" wako!
 
Back
Top Bottom