TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

Mwendo ameumaliza na sasa amelala usingizi wa mauti kusubiri marejeo ya Kristo aidha kufufuka ufufuo wa kwanza ule wa wenye haki au ule wa pili wa waovu. Bwana atusaidie kuzihesabu siku zetu tujipatie moyo wa hekima

Pole nyingi kwa familia na tasnia nzima ya utabibu
 
Unaseka na mavitabu usku kucha, kujituma, end of the day unakufa[emoji24][emoji24][emoji24] kifo kuwa na huruma Basi hii dunia hamna ambae atajua kuifaidi coz UNAWEZA ukatafuta alafu ukapata ukafa na kufa
 
Hapa JF kuna kaubaguzi fulani naanza kukaona kwa mbali, wengine wanawekewa na wengine wanatangazwa kikavukavu kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…